STAR TIMES WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA JIJINI DAR
Balozi wa Star Times ambae pia ni mchambuzi wa soka Shafii Dauda akikata keki ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja inayoadhimishwa kila mwaka kuanzia wiki ya kwanza. Balozi wa Star Times ambae pia ni mchambuzi wa soka Shafii Dauda akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusiana na ushiriki wa king'amuzi hicho katika kuendeleza soka nchini, hiyo ilikuwa ni wakati wa maadhimisho ya wiki yahuduma kwa wateja pembeni yake ni Meneja wa Operesheni wa Star Times Gaspa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLSTAR TIMES YAJIVUNIA MABORESHO YA HUDUMA ZAKE KWA WATEJA
9 years ago
MichuziBANKI YA DCB YA SHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA LEO JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja
9 years ago
Dewji Blog12 Oct
TTCL Wazinduwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, Kuwatembelea Wateja Popote
9 years ago
MichuziBENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA LEO
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja
BENKI ya CRDB inaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kusikiliza matatizo yanayowakabili wateja wa benki hiyo. Akizungumza jana alipotembelea matawi ya Holland, Premier na PPF jijini Dar es Salaam,...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Airtel yazindua wiki ya huduma kwa wateja
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imejipanga kikamilifu kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzitambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na kuthamini umuhimu wa wateja. Airtel,...
10 years ago
MichuziAirtel yahitimisha wiki ya huduma kwa wateja
Airtel imetembelea wateja wake katika maeneo mbalimbali ikiwa pamoja na Tandika, magomeni, Temeke , sinza, Mbagala, illala , kinondoni na katika maeneo yenye watu wengi na kuongea nao kwa nyakati tofauti lengo likiwa ni kupata maoni juu ya huduma na pia kuwaelimisha kuhusu...
9 years ago
GPLAIRTEL YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA