Airtel yahitimisha wiki ya huduma kwa wateja
Katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imehitimisha wiki hii inayosherehekewa duniani kwa kuwatembelea wateja wake mbali mbali na kuwashukuru kwa kutumia huduma na bidhaa zake.
Airtel imetembelea wateja wake katika maeneo mbalimbali ikiwa pamoja na Tandika, magomeni, Temeke , sinza, Mbagala, illala , kinondoni na katika maeneo yenye watu wengi na kuongea nao kwa nyakati tofauti lengo likiwa ni kupata maoni juu ya huduma na pia kuwaelimisha kuhusu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziAirtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi
9 years ago
GPLAIRTEL YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Airtel yazindua wiki ya huduma kwa wateja
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imejipanga kikamilifu kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzitambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na kuthamini umuhimu wa wateja. Airtel,...
10 years ago
Habarileo07 Oct
Airtel Tanzania yazindua wiki ya huduma kwa wateja
KAMPUNI ya simu za mkononi Airtel imejipanga kikamilifu kushehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kutambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na umuhimu wa wateja.
10 years ago
MichuziAIRTEL YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA STAILI LEO
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja
9 years ago
Dewji Blog12 Oct
TTCL Wazinduwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, Kuwatembelea Wateja Popote
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja
BENKI ya CRDB inaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kusikiliza matatizo yanayowakabili wateja wa benki hiyo. Akizungumza jana alipotembelea matawi ya Holland, Premier na PPF jijini Dar es Salaam,...
9 years ago
MichuziAMANA BANK YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Benki ya...