Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi
![](http://3.bp.blogspot.com/-azZA5E--RyE/VlYkIeDiOwI/AAAAAAAIIaM/bove7Pc73jY/s72-c/40c8b8d5-8024-4fe4-8b75-13e973062579.jpg)
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua application itakayowawezesha wateja wake kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi na kupitia application ijulikanayo kama "Airtel care App" Application hii mpya ya "Airtel care App" ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa "Airtel care App" Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson...
Michuzi