Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel , Sunil Colaso (wa kwanza kulia), Mkurugenzi wa Kitengo cha huduma kwa wateja, Adrian Lyamba (katika) na wafanyakazi wa Airtel kwa pamoja wakikata keki kuzindua wiki ya huduma kwa wateja duniani inayoanza rasmi leo, Octoba 5, 2015. Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika Makao Makuu ya Airtel Morocco jijini Dar es Salaam. Meneja wa Kitengo cha huduma kwa wateja, Airtel Tanzania, Bw. Deo Hugo akiongea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja

BENKI ya CRDB inaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kusikiliza matatizo yanayowakabili wateja wa benki hiyo. Akizungumza jana alipotembelea matawi ya Holland, Premier na PPF jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya CRDB yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja

Meneja  wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kushoto) akiwa na Meneja wa tawi la Meru, Loiyce Kapaliswa wakimkabidhi msaada Mwenyekiti wa Kituo cha kusaidia Wazee Arusha, Mzee Ngonyani  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma  Wateja. Kulia ni Ofisa wa Benki ya CRDB, Pamela.
Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la moshi. Wakikata keki kama maadhimo ya Wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB.


Meneja Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB, Lucy Naivasha  akiwapa Champagne wateja wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja

Jerry,wateja

Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry akiongea na wafanyakazi na wateja wa Tigo mara baada ya ufunguzi wa duka la Tigo lililokarabatiwa makao makuu ya Tigo Makumbusho ikiwa sehemu ya kuadhimisha  wiki ya huduma kwa mteja.

gloria

Mtoa huduma ya ufundi wa Intaneti ya Tigo, Gloria Minja akitoa huduma kwa wateja katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.

Gissela,Gideon

Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Makumbusho Gissela Akaro akimkabidhi mteja wa Tigo, Gideon Mapunda mkazi wa Mbezi Luis fulana ikiwa...

 

9 years ago

Michuzi

Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua application itakayowawezesha wateja wake kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi na kupitia application ijulikanayo kama "Airtel care App"  Application hii mpya ya "Airtel care App" ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa "Airtel care App" Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kufadhili mradi wa ufugaji kuku

"Mhisani anayekusaidia kujijengea uwezo wa kujitegemea ni muhimu sana kuliko Yule anayekupatia msaada kila siku bila kukujengea uwezo wa kusimama mwenyewe na kujitegemea”anasema Bw.Omar Abdul Kyaruzi Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo eneo la Boko wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam kutokana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kusaidia kituo hicho kujenga banda la kisasa kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku.
Mbali na kufadhili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Airtel yazindua wiki ya huduma kwa wateja

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imejipanga kikamilifu kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzitambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na kuthamini umuhimu wa wateja. Airtel,...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yahitimisha wiki ya huduma kwa wateja

Katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imehitimisha wiki hii inayosherehekewa duniani kwa kuwatembelea wateja wake mbali mbali na kuwashukuru kwa kutumia huduma na bidhaa zake.
Airtel imetembelea wateja wake katika maeneo mbalimbali ikiwa pamoja na Tandika, magomeni, Temeke , sinza, Mbagala, illala , kinondoni na katika maeneo yenye watu wengi na kuongea nao kwa nyakati tofauti lengo likiwa ni kupata maoni juu ya huduma na pia kuwaelimisha kuhusu...

 

10 years ago

Habarileo

Airtel Tanzania yazindua wiki ya huduma kwa wateja

KAMPUNI ya simu za mkononi Airtel imejipanga kikamilifu kushehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kutambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na umuhimu wa wateja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani