Kampuni ya Tigo yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja
Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry akiongea na wafanyakazi na wateja wa Tigo mara baada ya ufunguzi wa duka la Tigo lililokarabatiwa makao makuu ya Tigo Makumbusho ikiwa sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja.
Mtoa huduma ya ufundi wa Intaneti ya Tigo, Gloria Minja akitoa huduma kwa wateja katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Makumbusho Gissela Akaro akimkabidhi mteja wa Tigo, Gideon Mapunda mkazi wa Mbezi Luis fulana ikiwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja
![IMG_5004](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_5004.jpg)
![IMG_4911](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_4911.jpg)
![IMG_5035](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_5035.jpg)
![picha 02](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/picha-02.png)
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja
BENKI ya CRDB inaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kusikiliza matatizo yanayowakabili wateja wa benki hiyo. Akizungumza jana alipotembelea matawi ya Holland, Premier na PPF jijini Dar es Salaam,...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/PICT-1-6.jpg?width=650)
AIRTEL YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
10 years ago
MichuziBenki ya CRDB yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja
![](http://4.bp.blogspot.com/-rUv8jlyk3EM/VDZ0HddqE6I/AAAAAAABKqo/d9lfXinOvjQ/s1600/IMG-20141006-WA0013.jpg)
Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la moshi. Wakikata keki kama maadhimo ya Wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB.
![](http://2.bp.blogspot.com/-XIvNPuG5FI0/VDZ0MfWCbcI/AAAAAAABKq0/fwDyMcbEHWM/s1600/IMG-20141007-WA0042.jpg)
Meneja Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB, Lucy Naivasha akiwapa Champagne wateja wa...
10 years ago
Michuzi06 Oct
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TslQhVTUIaw/VDafNfPpDmI/AAAAAAAGo1o/hEpKKFSEh0s/s72-c/unnamed.jpg)
Vodacom yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kufadhili mradi wa ufugaji kuku
Mbali na kufadhili...
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
Maadhimisho ya wiki huduma kwa wateja wa Tigo yaendelea leo
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akiwakabidhi fulana wateja wa tigo kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja yaliyofanyika Dula la Tigo Nkurumah.
Mteja wa Tigo Zenah Hamdi mkazi wa Tandika, akipata huduma toka kwa Mtoa huduma wa Kampuni ya Tigo.
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akimkabidhi fulana mteja wa Tigo Nickson Mbwambo mkazi wa Mabibo, kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja yaliyofanyika Duka la Tigo...
9 years ago
VijimamboKAMPUNI KONGWE YA MAWASILILIANO TANZANIA (TTCL) YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.
Tigo Tanzania leo imekuwa...