Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kufadhili mradi wa ufugaji kuku

"Mhisani anayekusaidia kujijengea uwezo wa kujitegemea ni muhimu sana kuliko Yule anayekupatia msaada kila siku bila kukujengea uwezo wa kusimama mwenyewe na kujitegemea”anasema Bw.Omar Abdul Kyaruzi Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo eneo la Boko wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam kutokana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kusaidia kituo hicho kujenga banda la kisasa kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku.
Mbali na kufadhili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja

BENKI ya CRDB inaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kusikiliza matatizo yanayowakabili wateja wa benki hiyo. Akizungumza jana alipotembelea matawi ya Holland, Premier na PPF jijini Dar es Salaam,...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel , Sunil Colaso (wa kwanza kulia), Mkurugenzi wa Kitengo cha huduma kwa wateja, Adrian Lyamba (katika) na wafanyakazi wa Airtel kwa pamoja wakikata keki kuzindua wiki ya huduma kwa wateja duniani inayoanza rasmi leo, Octoba 5, 2015. Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika Makao Makuu ya Airtel Morocco jijini Dar es Salaam. Meneja wa Kitengo cha huduma kwa wateja, Airtel Tanzania, Bw. Deo Hugo akiongea...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya CRDB yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja

Meneja  wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kushoto) akiwa na Meneja wa tawi la Meru, Loiyce Kapaliswa wakimkabidhi msaada Mwenyekiti wa Kituo cha kusaidia Wazee Arusha, Mzee Ngonyani  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma  Wateja. Kulia ni Ofisa wa Benki ya CRDB, Pamela.
Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la moshi. Wakikata keki kama maadhimo ya Wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB.


Meneja Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB, Lucy Naivasha  akiwapa Champagne wateja wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja

Jerry,wateja

Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry akiongea na wafanyakazi na wateja wa Tigo mara baada ya ufunguzi wa duka la Tigo lililokarabatiwa makao makuu ya Tigo Makumbusho ikiwa sehemu ya kuadhimisha  wiki ya huduma kwa mteja.

gloria

Mtoa huduma ya ufundi wa Intaneti ya Tigo, Gloria Minja akitoa huduma kwa wateja katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.

Gissela,Gideon

Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Makumbusho Gissela Akaro akimkabidhi mteja wa Tigo, Gideon Mapunda mkazi wa Mbezi Luis fulana ikiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Vodacom yafadhili mradi wa ufugaji kuku

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania imeadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kufadhili mradi wa ufugaji kuku.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja

IMG_5019

Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)  IMG_5004 IMG_4911 Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja waliohudhuria hafla hiyo. IMG_5035 Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo. picha 02 Picha ya pamoja ya Wafanyakazi  na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa...

 

10 years ago

Michuzi

CRDB Lumumba, Yaadhimisha Siku ya Huduma kwa Wateja Kwa Kuwakumbuka Wenye Ulemavu

CRDB Bank Tawi la Lumumba, Yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, kwa Kutembelea Kituo cha Watoto wenye ulemavu cha Jeshi la Wokovu, Kurasini jijini Dar es Salaam..  Huku wakiongozwa na Mkurugenzi wa CRDB Tawi la Lumumba, John Almasi, wafanyakazi hao, walijumuika na watoto hao, kwa kuwapa zawadi mbalimbali, na kushiriki kutoa huduma mbalimbali shuleni hapo.  Akizungumzia siku hiyo, Mkurugenzi wa CRDB, Tawi la Lumumba, John Almasi, amesema wameamua kuwakumbuka watu wenye uhitaji, kwa vile...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPB yaadhimisha Wiki ya Wateja kwa usafi

BENKI  ya Posta Tanzania (TPB), Tawi la Metropolitan wamefanya usafi wa mazingira katika maeneo yanayowazunguka ili kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja inayosherehekewa na benki hiyo kila mwaka. Maadhimisho hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani