Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom yafadhili mradi wa ufugaji kuku

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania imeadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kufadhili mradi wa ufugaji kuku.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kufadhili mradi wa ufugaji kuku

"Mhisani anayekusaidia kujijengea uwezo wa kujitegemea ni muhimu sana kuliko Yule anayekupatia msaada kila siku bila kukujengea uwezo wa kusimama mwenyewe na kujitegemea”anasema Bw.Omar Abdul Kyaruzi Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo eneo la Boko wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam kutokana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kusaidia kituo hicho kujenga banda la kisasa kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku.
Mbali na kufadhili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vodacom yafadhili mradi yatima Mwandalimwa

KATIKA kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani kampuni ya Vodacom, imejitolea kufadhili ujenzi wa banda la kuku la kisasa lenye uwezo wa kufugia kuku 2,000 katika kituo cha kulea...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI SUZAN KAGANDA ATOA VITENGE 15 NA TSHS. 100,000/= KWA AJILI YA MRADI WA UFUGAJI WA KUKU WILAYANI KONGWA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.   Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzan Kaganda  ametoa vitenge 15 kwa ajili ya sare ya kikundi cha ngoma cha Kijiji cha Mlanga Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma na kutoa fedha tasilimu Tshs. 100,000/= kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku.  Ametoa vitu hivyo alipotembelea kikundi hicho ambacho pia kinajishughulisha na ulinzi shirikishi kijijini hapo na kuwaambia kuwa swala la maendeleo ni swala mtambuko hivyo amewataka kuweza kujishughulisha...

 

9 years ago

Bongo5

Mr Nice ageukia ufugaji wa kuku

Hi

Mr Nice hategemei muziki peke yake kwa sasa. Kuna kitu kingine kikubwa anachokifanya – ufugaji kuku.

Hi

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Mr Nice amepost picha akiwa kwenye banda la kuku na kuandika:

Sio mpaka niimbe tu ndio nipate hela. Hii pia ni moja kati ya kazi zinazonipa jeuri, some time nakaa kimya kabisa ila sharehe zinaendelea na wengine wanahisi ninabiashara haramu. Napenda kuwamshauri wasanii wenzangu mkishatoka kwenye majukwaa kile mnalichokipata wekezeni kidogo ili msiwe watumwa...

 

5 years ago

Michuzi

VIJANA WAHAMASISHWA UFUGAJI WA KUKU, KUJIKWAMUA KIUCHUMI


Na. Edward Kondela
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewapa vifaranga vya kuku 540 kikundi cha vijana wajasiriamali ili kuhamasisha ufugaji utakaosaidia kuziba pengo la uhaba wa nyama ifikapo mwaka 2022 pamoja na kukuza sekta ya kuku nchini.
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazao ya Mifugo na Usalama wa Chakula na Lishe wa wizara hiyo, Bw. Gabriel Bura amekabidhi vifaranga hivyo mwishoni mwa wiki kwa wawakilishi wa kikundi cha vijana watatu wajasiriamali hafla ilifanyika Mbweni jijini Dar es Salaam....

 

10 years ago

Michuzi

MHE. KAMANI AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA

Mgeni Rasmi Waziri wa Maendeleao ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (MB) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki ndani ya Ziwa Viktoria Kiteule cha Bulamba kwa kutumia teknolojia mpya ya vizimba (Cages). Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe.John Henjewele, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael M. Muhuga.Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani akipandikiza...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT. TITUS MLENGEYA KAMANI (Mb) AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA

Mgeni Rasmi Waziri wa Maendeleao ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (MB) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki ndani ya Ziwa Viktoria Kiteule cha Bulamba kwa kutumia teknolojia mpya ya vizimba (Cages). Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe.John Henjewele, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael M. Muhuga.Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani akipandikiza...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA KAMBANGWA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA KOMPYUTA WA VODACOM NA SAMSUNG

Wanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari ya Kambangwa iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam,wakioneshwa na Meneja miradi na Mawasiliano wa Vodacom Foundation Renatus Rwehikiza moja ya progamu zinazopatikana katika Kompyuta zinazowawezesha kupata taarifa ya masomo mbalimbali kwa njia ya mtandao wakati alipotembelea shuleni hapo kwa ajili ya kujua maendeleo ya mradi wa TEHAMA uliofadhiliwa na Vodacom Foundation kwa kushirikiana na Kampuni ya Samsung.Zaidi ya wanafunzi elfu...

 

10 years ago

GPL

VODACOM FOUNDATION YAUPA JEKI $ 166,000 MRADI WA HAKUNA WASICHOWEZA

Wasichana kutoka kata ya Ufukoni mkoani Mtwara wakisubiri kupatiwa elimu ya Afya na uzazi na kugawiwa pedi kupitia mradi wa Hakuna Wasichoweza unaoendeshwa na taasisi ya T-Marc chini ya ufadhili wa USAID na Vodacom Foundation.Vodacom Foundation imeongeza $166,000 kwa ajili ya kuuongezea nguvu mradi huo unaowalenga wasichana wanafunzi waliopo mashuleni na wale wasio mashuleni na kwa kuanzia zoezi hili linafanyika katika mkoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani