MHE. KAMANI AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA
Mgeni Rasmi Waziri wa Maendeleao ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (MB) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki ndani ya Ziwa Viktoria Kiteule cha Bulamba kwa kutumia teknolojia mpya ya vizimba (Cages). Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe.John Henjewele, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael M. Muhuga.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani akipandikiza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT. TITUS MLENGEYA KAMANI (Mb) AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Usanifu mradi wa maji Ziwa Victoria wakamilika
SERIKALI inaendelea kutafuta fedha za utekelezaji wa mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria hadi Tabora baada ya usanifu wa kina kukamilika. Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, alieleza hayo bungeni...
5 years ago
Michuzi
Tabora Waanza Kunufaika na Mradi wa Maji Ziwa Victoria
Na. Immaculate Makilika- MAELEZO
Mradi wa maji kutoka ziwa Victoria umeanza kufanya kazi na kuwanufaisha wananchi ambao wamepitiwa na mradi huo katika mkoa wa Tabora, na unatarajiwa kunufaisha wakazi wakazi Milioni 1.8 utakapokamilika.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema mradi huo unaogharimu shilingi bilioni 600 utawanufaisha wakazi wa vijiji zaidi...
11 years ago
Habarileo04 Jan
Mahenge akabidhi vitendea kazi mradi wa Ziwa Victoria
NAIBU Waziri wa Maji, Dk Binilith Mahenge amekabidhi vitendea kazi vya magari matano ya maji taka, matrekta nane pamoja na makontena 104 kwa wilaya mbili na mji wa Geita zinazotekeleza mradi wa uboreshaji wa huduma za maji na usafi wa mazingira wa Ziwa Victoria (LV WATSAN II).
11 years ago
Michuzi.jpg)
MRADI WA KUDHIBITI GUGUMAJI ZIWA VICTORIA WATAMBULISHWA CHATO
11 years ago
Michuzi
Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki akagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na Mradi wa Kuifadhi Mazingira wa Ziwa Victoria LVEMP II
Akiwahutubia Wananchi wa kijiji cha Kilulu nje kidogo ya mji wa Bariadi Mkoani Simiyu Mhe. Juma alisema ikiwa ni ahadi yake ya kuzindua mashine hiyo lakini ameshindwa kufanya hivyo baada ya kutokeza kasoro za kiufundi na ya...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAJI ATEMBELEA MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA, KAHAMA,SHINYANGA NA KISHAPU
ZIARA ya naibu waziri ilianzia kwenye chanzo ca maji kitongoji cha Ihelele, kijiji cha Nyanghomango kwa kugagua chanzo, sehemu ya kutibu maji na kusukuma maji kisha kuongea na wananchi wa kijiji cha NysnghomangoAidha alikagua mradi unaoendelea kujengwa wa kupeleka maji miji ya mwadui, Maganzo na Kishapu.
Mradi huu mkubwa wa maji unagharimu shilingi bilioni 254 na una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 120 kwa siku lakini mpaka sasa unazalisha maji lita milioni 80 tu kwa siku na unahudumia...
5 years ago
Michuzi
MWAKA WA FEDHA WA 2020/ 2021 WIZARA YA MAJI KUFANYA USANIFU WA MRADI MKUBWA WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWENDA DODOMA




5 years ago
Michuzi
NDEGE YATUA MWANZA KUBEBA SAMAKI, MHANDISI STELLA MAYANYA ATANGAZA SOKO LA SAMAKI WA KANDA YA ZIWA.


Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella M. Manyanya{kulia} akikagua uandaaji wa mizigo ya minofu ya samaki ya kilogram 17,262 zenye thamani ya Tsh. 191,874,837.78 iliyopelekwa ndege ya Ethiopia Airlines...