NAIBU WAZIRI WA MAJI ATEMBELEA MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA, KAHAMA,SHINYANGA NA KISHAPU
ZIARA ya naibu waziri ilianzia kwenye chanzo ca maji kitongoji cha Ihelele, kijiji cha Nyanghomango kwa kugagua chanzo, sehemu ya kutibu maji na kusukuma maji kisha kuongea na wananchi wa kijiji cha NysnghomangoAidha alikagua mradi unaoendelea kujengwa wa kupeleka maji miji ya mwadui, Maganzo na Kishapu.
Mradi huu mkubwa wa maji unagharimu shilingi bilioni 254 na una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 120 kwa siku lakini mpaka sasa unazalisha maji lita milioni 80 tu kwa siku na unahudumia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAJI AMOSI MAKALA ATEMBELEA ENEO LA MRADI MKUBWA WA MAJI WA MWANGA/KOROGWE.
PICHA ZAIDI...
5 years ago
MichuziMWAKA WA FEDHA WA 2020/ 2021 WIZARA YA MAJI KUFANYA USANIFU WA MRADI MKUBWA WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWENDA DODOMA
9 years ago
MichuziNaibu waziri wa maji akagua ujenzi wa mradi mkubwa wa maji Bunda
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Usanifu mradi wa maji Ziwa Victoria wakamilika
SERIKALI inaendelea kutafuta fedha za utekelezaji wa mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria hadi Tabora baada ya usanifu wa kina kukamilika. Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, alieleza hayo bungeni...
9 years ago
VijimamboNAIBU WAZIRI WA MAJI MH. AMOS MAKALLA AKAGUA MRADI WA MAJI KATIKA MJI WA GEITA
Mkuu wa mkoa wa Geita Fatma Mwasa akimpokea naibu waziri maji Amos Makalla.
Naibu waziri wa maji Amos Makalla leo ametembelea mradi unaotekelezwa kwa ushirikiano wa serikali na mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) wa uboreshaji huduma ya maji kwa mji wa Geita
Mradi huu unagharimu fedha sh 10 bilioni ambao kukamilika kwake kutaongeza huduma ya...
10 years ago
VijimamboNAIBU WAZIRI WA MAJI MHE. AMOS MAKALLA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAJI MUFINDI NA SONGEA
Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Mufindi na Songea. Akiwa wilayani Mufindi, Mh Makalla amekagua mradi mkubwa wa Maji wa ikilimanzoo na kuelekeza mkandarasi aukamilishe haraka. Aidha Naibu Waziri huyo wa Maji amekagua na kutoa cheti kwa jumuiya ya watumia maji Mkongotema na Magingo (MAMKO). Leo Ijumaa ataendelea na ziara yake...
5 years ago
MichuziTabora Waanza Kunufaika na Mradi wa Maji Ziwa Victoria
Na. Immaculate Makilika- MAELEZO
Mradi wa maji kutoka ziwa Victoria umeanza kufanya kazi na kuwanufaisha wananchi ambao wamepitiwa na mradi huo katika mkoa wa Tabora, na unatarajiwa kunufaisha wakazi wakazi Milioni 1.8 utakapokamilika.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema mradi huo unaogharimu shilingi bilioni 600 utawanufaisha wakazi wa vijiji zaidi...
10 years ago
VijimamboNAIBU WAZIRI WA MAJI MH AMOS MAKALLA AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KIJIJI CHA MKONGO NAKAWALE
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa Maji kijiji cha Mkongo Nakawale ambao watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.
Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe 12 mei mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba...
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI AWESO AMWEKA NDANI MKANDARASI WA MAJI MKINGA KUSHINDWA KUSIMAMIA MRADI WA MAJI MBUTA
NAIBU Waziri wa Maji Juma Aweso ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani Mkinga kumkatama Mhandisi wa Wakala wa Maji Vijiji (Ruwasa) wilaya ya Mkinga Castory Keneth kutokana na kushindwa kusimamia mradi wa maji wa Mbuta na kupelekea kushindwa kukamilika kwa wakati huku wananchi wakiendelea kutekeseka kupata huduma hiyo muhimu.
Mradi huo ulianza 2013 ambapo serikali ilitoa kiasi cha zaidi ya milioni 400 lakini utekelezaji wake ulishindwa kukamilika na kupeleke tatizo la maji kwenye eneo...