Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usanifu mradi wa maji Ziwa Victoria wakamilika

SERIKALI inaendelea kutafuta fedha za utekelezaji wa mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria hadi Tabora baada ya usanifu wa kina kukamilika. Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, alieleza hayo bungeni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MWAKA WA FEDHA WA 2020/ 2021 WIZARA YA MAJI KUFANYA USANIFU WA MRADI MKUBWA WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWENDA DODOMA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa, Kitila Mkumbo akizungumza mkoani Singida, mwishoni mwa wiki kwenye hafla ya kupokea mabomba ya maji ambayo ni sehemu ya Programu kubwa inayotekelezwa kwa nchi nzima katika mikoa 17, Singida ikiwa ni moja ya mikoa hiyo. Mkurugenzi wa RUWASA, Clement Kivegalo, akizungumza kwenye hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa, Kitila Mkumbo.Meneja wa RUWASA Mkoa wa Singida, Mhandisi Lucas Saidi, akizungumza.Meneja wa Kiwanda cha kutengeneza...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI ATEMBELEA MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA, KAHAMA,SHINYANGA NA KISHAPU


ZIARA ya naibu waziri ilianzia kwenye chanzo ca maji kitongoji cha Ihelele, kijiji cha Nyanghomango kwa kugagua chanzo, sehemu ya kutibu maji na kusukuma maji kisha kuongea na wananchi wa kijiji cha NysnghomangoAidha alikagua mradi unaoendelea kujengwa wa kupeleka maji miji ya mwadui, Maganzo na Kishapu.


Mradi huu mkubwa wa maji unagharimu shilingi bilioni 254 na una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 120 kwa siku lakini mpaka sasa unazalisha maji lita milioni 80 tu kwa siku na unahudumia...

 

5 years ago

Michuzi

Tabora Waanza Kunufaika na Mradi wa Maji Ziwa Victoria


Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Mradi wa maji kutoka ziwa Victoria umeanza kufanya kazi na kuwanufaisha wananchi ambao wamepitiwa na mradi huo katika mkoa wa Tabora, na unatarajiwa kunufaisha wakazi wakazi Milioni 1.8 utakapokamilika.

Akizungumza na Waandishi wa habari leo jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema mradi huo unaogharimu shilingi bilioni 600 utawanufaisha wakazi wa vijiji zaidi...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa maji wa Sh mil 692 Kibati wakamilika

WANANCHI wapatao 10,000 wa vijiji vya Salawe na Hoza, Kata ya Kibati, wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro wameanza kupata huduma ya maji safi na salama kutokana na kukamilika kwa ujenzi mradi wa maji uliogharimu Sh milioni 692.1.

 

11 years ago

Michuzi

MRADI WA KUDHIBITI GUGUMAJI ZIWA VICTORIA WATAMBULISHWA CHATO

 Na Richard Bagolele  Mradi wa kutibiti gugumaji kanda ya ziwa chini ya ufadhili wa wa mradi wa hifadhi ya mazingira ya ziwa Viktoria awamu ya pili (LVEM II) umetambulishwa rasmi wilayani Chato.  Akiongea wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yaliyofanyika kwennye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mratibu wa mafunzo hayo Bw. Emanuel Kitabo amesema lengo la kutambulisha mradi huo kwa wadau mbalimbali wa Chato ni kuhifadhi na kutunza mazingira ya ziwa Victoria vikiwemo vyanzo...

 

11 years ago

Habarileo

Mahenge akabidhi vitendea kazi mradi wa Ziwa Victoria

Naibu Waziri wa maji, Dk Binilith MahengeNAIBU Waziri wa Maji, Dk Binilith Mahenge amekabidhi vitendea kazi vya magari matano ya maji taka, matrekta nane pamoja na makontena 104 kwa wilaya mbili na mji wa Geita zinazotekeleza mradi wa uboreshaji wa huduma za maji na usafi wa mazingira wa Ziwa Victoria (LV WATSAN II).

 

10 years ago

Michuzi

MHE. KAMANI AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA

Mgeni Rasmi Waziri wa Maendeleao ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (MB) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki ndani ya Ziwa Viktoria Kiteule cha Bulamba kwa kutumia teknolojia mpya ya vizimba (Cages). Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe.John Henjewele, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael M. Muhuga.Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani akipandikiza...

 

11 years ago

GPL

MAGU: INAPAKANA NA ZIWA VICTORIA LAKINI MAJI HAKUNA

Mheshimiwa Dk. Festus Bulugu Limbu (katikati) akifafanua jambo. Makala: Gabriel Ng’osha Magu ni moja kati ya wilaya saba zinazounda Mkoa wa Mwanza. Pia ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Dk. Festus Bulugu Limbu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Upande wa Kaskazini, Magu inapakana na Ziwa Victoria, Kusini inapakana na Wilaya za Kwimba, Misungwi na Mkoa wa Shinyanga kwa upande wa Mashariki. Uwazi lilichanja...

 

10 years ago

CloudsFM

Magugu maji yasababisha kukwama kwa safari za majini ziwa victoria

Mimea ya magugu maji aina ya matende imetanda katika eneo la Kigongo wilayani Misungwi mkoani Mwanza kiasi cha kutatiza shughuli za usafiri na usafirishaji katika kivuko hicho ambacho ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya mikoa ya Kanda ya Ziwa pamoja na nchi jirani.

Kutanda kwa mimea hiyo katika eneo lenye ukubwa wa takribani hekari 4 kulisababisha vivuko vya Mv Misungwi na Mv Sengerema kushindwa kutoa huduma ya usafiri na usafirishaji kwa takriban siku tatu mfululizo baada ya kukosa eneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani