Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMANA BANK YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mteja wa muda mrefu wa bemki ya Amana Bw Masoud Khalfan (katikati) akizindua wiki ya huduma kwa wateja katika tawi la Main la benki ya Amana jijini Dar ka kukata utepe. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa benki hiyo Dk Muhsin Masoud, Kulia ni mkuu wa idara ya masoko Bw Dassu Mohamed Mussa, kushoto ni mteja wa siku nyingi wa benki hiyo Bw Dossa. Mkuu wa idara ya masoko Bw Dassu Mussa kushoto akiwa na mkuu wa kitengo cha fedha Bw Fahad Hamid siku ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja. 
Benki ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi wa Amana bank afunga wiki ya huduma kwa wateja tawi la Mwanza!

Mkurugenzi wa benki ya Amana  Dk Muhsin Masoud  akimkabidhi  zawadi mteja Yasmin Ismail Mussa kwa utunzaji bora wa fedha katika tawi la Mwanza.

Benki ya Amana leo hii imehitimisha wiki ya huduma kwa wateja ambapo katika tawi la Mwanza mkurugenzi wa benki hiyo Dk Muhsin Masoud alitoa zawadi mbali mbali kwa wateja wenye sifa tofauti tofauti kama ioneshavyo pichani.

Mkurugenzi huyo alikutana na wateja mbali mbali tawini  hapo ili kubadilishana nao mawazo na pia kupokea maoni toka kwao katika...

 

9 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Benki ya Amana afunga wiki ya huduma kwa wateja katika tawi la Mwanza


Mkurugenzi wa Amana Bank Dk Muhsin Masoud akimzawadia Bw Juma Kivuruga kwa kuwa mfanyakazi bora kwa tawi la Mwanza, Kivuruga alipigiwa kura na wafanyakazi wenziye wa tawi hilo.Daud Lweno akizawadiwa na Mkurugenzi wa Amana Bank kama mteja mzuri kulipia miamala ya TRA katika tawi la Mwanza. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Tanzania Daima

Airtel yazindua wiki ya huduma kwa wateja

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imejipanga kikamilifu kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzitambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na kuthamini umuhimu wa wateja. Airtel,...

 

10 years ago

Habarileo

Airtel Tanzania yazindua wiki ya huduma kwa wateja

KAMPUNI ya simu za mkononi Airtel imejipanga kikamilifu kushehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kutambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na umuhimu wa wateja.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA


Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia), Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (kushoto) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kulia) akiwa na maofisa wa Benki hiyo kabla ya kuanza kwa mkutano.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti...

 

10 years ago

Michuzi

ECOBANK TANZANIA YAZINDUA RASMI WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Wafanyakazi wa Ecobank Tanzania wakikata keki kwa pamoja na wateja wa benki hiyo Bw. Betwel Usio (Katikati) na Anna Swai (wa kwanza kushoto) kuashiria uzinduzi rasmi wa wiki ya huduma kwa wateja katika hafla iliyofanyika kwenye tawi la benki hiyo la Sokoine jijini Dar es salaam. Meneja wa benki tawi la Sokoine Bi. Anna Chimalilio akimlisha keki moja ya wateja wa benki hiyo Bw. Betwel Usio wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika kwenye tawi la...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA STAILI LEO

Wakurugenzi wote wa Airtel wakiongozwa na mkuu wao Sunil Colaso (kati) wakikata keki leo wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaadhimishwa duniani kote kuanzia tareh 6, Airtel imejipanga kuadhimisha wiki hii kwa kuwashuru wateja wake wote, kuongeza motishaa kwa watoa huduma wake wote nchini kuendelea kuhudumia wateja, pamoja na kuhamasisha kila mtoa huduma nchini kufahamu umhimu wa mteja.Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania Bw Sunil Colaso akiongea na wafanyakazi wote pamoja...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI KONGWE YA MAWASILILIANO TANZANIA (TTCL) YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la mawasiliano (TTCL) kushoto , Dk. Kamugisha Kazaura akisaini kitabu cha wageni katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo. Ambapo Kampuni ya simu ya TTCL  imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja .Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akikata keki katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kuzinduwa wiki ya huduma kwa...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA KUTOA VIFAA TIBA KWA MANISPAA YA KONONDONI

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja uliofanyika jijini Dar es Salaam na kukabidhi vifaa tiba kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa kipindupindu katika Manispaa ya Kinondoni. (Picha na Francis Dande).
 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja uliofanyika Dar es Salaam.
Baadhi ya Mameneja na Wakurugenzi wa Benki ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani