MJUE SuperModel wa Kibongo Harieth Paul
Mfahamu mwanamitindo maarafu wa kiwango cha kimataifa Herieth Paul, ambaye ni raia wa Tanzania aneyeishi nchini Canada.
Mwanamitindo huyu mwenye umri wa miaka 18 anafanya shughuli zake jijini New York Marekani, London Uingereza na Milan Italia. Amesaini mkataba wa vipodozi na kampuni maarufu duniani ya Calvin Klein na ametokea katika kurasa mbele za majarida mashuhuri mbalimbali kama Elle Magazine, Teen Vogue na VogueItalia.
Hivi karibuni pia mrembo huyu amekuwa miongoni mwa ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Qg0yxdZS1X8/default.jpg)
MJUE SUPER MODEL HERIETH PAUL MTANZANIA ALIYEPATA MKTATABA NA SEPHORA COSMETICS & BEAUTY
Ninafurahi kukupa taarifa hii mahususi ya Binti MTANZANIA - HERIETH PAUL - SUPER MODEL anayeishi Canada na Marekani na kufanya kazi zake ‘around the Globe’.
Video mbili ni baadhi tu ya interview alizofanya leo 01/9/2015 - na CTV - Ottawa akizungumzia Mkataba wa kazi alioingia na KAMPUNI kubwa duniani ya vipodozi ‘Sephora Cosmetics & Beauty’ na video ya pili ni MORNING LIVE – Ottawa, ambayo anaelezea mafanikio yake kwa nia ya kuwahamsisha wasichana wa umri wake waweze KUJIAMINI na...
9 years ago
Bongo501 Oct
Picha: Supermodel Naomi Campbell apozi utupu kwenye jarida la Lui (18+)
5 years ago
FOX Sports Malaysia28 Feb
Paul Scholes hails Bruno Fernandes, claims he has ‘brought what one expected from Paul Pogba’
10 years ago
Michuzisupermodel flaviana matata atembelea ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York
Picha ya chini Flaviana akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York.
11 years ago
GPLSINEMA ZA KIBONGO LINI ZITABADILIKA?
10 years ago
CloudsFM06 Feb
JB amtaja ‘’muuaji’ wa filamu za Kibongo
‘’Unajua zamani filamu zilikuwa chache sana ndiyo maana kila shabiki alikuwa anaitafuta sana filamu ndiyo maana zilikuwa na thamani lakini sasa hivi...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Wema aziponda filamu za Kibongo
STAA wa filamu za Bongo, Wema Sepetu, amesema filamu nyingi za Bongo ni za makochi na juisi, hivyo kwa sasa ameamua kuja tofauti. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Wema...
10 years ago
Bongo Movies19 Dec
Movies za Kibongo Kushuka Bei Mwakani
Baadhi ya waigizaji na wadau wanaofanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment , leo asubuhi walitambulisha bei mpya na muonekano mpya wa DVD covers za filamu zao kwenye ukumbi wa habari maelelzo.
Ambapo wameseama kuanzia mwezi wa pili mwakani CD moja iauzwa shilingi 1500 kwa bei ya rejareja badala ya shilingi 3000 iliyopo sasa.
Mbali na hayo wasanii waliazimia kuendeleza harakati za kupambana na wezi wa kazi zao.
Una maoni gani juu ya hili.
10 years ago
Mwananchi18 Oct
TI kufurukuta mbele ya wasanii wa kibongo leo?