Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


supermodel flaviana matata atembelea ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York

Ankal akila konozzzz na supermodel wa Tanzania anaefanya kazi zake jijini New York, Marekani, walipokutana jijini humo hivi karibuni. Ankal anamsifia Flaviana kwa kuwa mmoja wa watu maarufu wachache wanaoendesha maisha yao bila maskendo wala kashfa. Hongera sana Flaviana. Kaza buti na endeleza kupeperusha bendera yetu vyema ughaibuni.
Picha ya chini Flaviana akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

sumaye atembelea oisi za mwakilshi wa kudumu wa tanzania katika umoja wa mataifa jijini New york

 Waziri Mkuu  Mstaafu. Mhe. Frederick Sumaye akiandika  katika kitabu cha wageni wakati alipoutembelea  Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mtaifa, mwishoni mwa wiki,  pembezi yake ni  Mama Ester Sumaye, na Balozi Ramadhan Mwinyi, Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa. Mhe. Waziri Mkuu Mstaafu , Frederick Sumaye, akiangalia picha za baadhi ya Wawakilishi wa Kudumu wa  Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa ambao picha zao  zinapamba...

 

10 years ago

GPL

NAHODHA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA

Karibu na asante kwa kuja kututembelea"  Mwakilishi  wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akimkaribisha Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) katika  Ofisi za ubalozi wa Tanzania  Umoja wa Mataifa. Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) akisaini kitabu  cha  wageni  Ofisini kwa  Mwakilishi wa Kudumu Balozi Tuvako Manongi (kulia). Mhe.… ...

 

10 years ago

GPL

UNTY EZEKIEL, CASSIM MGANGA WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK‏

Aunt na Cassim wakiwa ubalozi wakisubiri kuonana na Balozi hii ndani ya jengo la ubalozi wa Tanzania New York City.
Mh. Balozi Manongi akishuudia Aunt Ezekiel akitia saini kwenye kitabu cha wageni ubalozini hapo.…

 

9 years ago

Michuzi

JK KATIKA MKUTANO WA 70 WA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK, MAREKANI, LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa 70 wa Umoja wa Maiataifa akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na ushurikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba, Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Yussuf Mzee na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi  Liberata Mulamula  Rais Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Lars Loekke Rasmussen 

 Rais Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Finland Mama Tarja Halonen

 Rais...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATEMBELEA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA NEW YORK

Mhe. Waziri Mkuu Mstaafu , Frederick Sumaye, akiangalia picha za baadhi ya Wawakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa ambao picha zao zinapamba ukumbi wa Mkutano wa Ofisi ya Mwakilishi wa KudumuMhe. Sumaye na Mama Esther wakipozi katika baadhi ya vivutio vilivyomo katika Ofisi Mpya za Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Jengo la Uwakilishi wa Kudumu lilifunguliwa rasmi mwishoni mwa mwezi March na Mhe. Rais Jakaya Mrisho...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete katika mkutano wa 70 wa Umoja wa Mataifa Jijini New York, MAREKANI

unnamed (7)Rais Kikwete akiwa na Rais Filipe Jacinto Nyusi wa Mzumbiji na mawaziri wao wa nchi za nje katika mkutano huo mjini New York.

unnamed (2)Rais Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Lars Loekke Rasmussen 

unnamed (3)Rais Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Finland Mama Tarja Halonen

unnamed (5)Rais Kikwete na ujumbe wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na ushurikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba, Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Yussuf Mzee,  Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK

Wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa 59 wa Kamisheni kuhusu Hadhi ya Wanawake, kwa wiki kuanzia jumatano hadi Ijumaa wameendelea na jukumu kubwa la kujadiliana, kuhabaridha,a kubadilishana uzoefu, kuelimisha na hata kujifunza namna ya kuzikabilia changamato mbalimbali ambazo mwanamke na mtoto wea kike wanaendelea kukabiliana nazo. Mkutano huu wa mbao ni wa waki mbili unafanyika sambamba na maadhimisho ya miaka 20 tangu kufanyika kwa mkutano wa kihistoria wa wanawake uliofanyika ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani