sumaye atembelea oisi za mwakilshi wa kudumu wa tanzania katika umoja wa mataifa jijini New york
.jpg)
Waziri Mkuu Mstaafu. Mhe. Frederick Sumaye akiandika katika kitabu cha wageni wakati alipoutembelea Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mtaifa, mwishoni mwa wiki, pembezi yake ni Mama Ester Sumaye, na Balozi Ramadhan Mwinyi, Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa.
Mhe. Waziri Mkuu Mstaafu , Frederick Sumaye, akiangalia picha za baadhi ya Wawakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa ambao picha zao zinapamba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo.jpg)
WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATEMBELEA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA NEW YORK
.jpg)
11 years ago
Michuzisupermodel flaviana matata atembelea ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York
Picha ya chini Flaviana akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York.
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog14 Apr
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mhe. Ridhiwani Kikwete atembelea Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa
.jpg)
10 years ago
Michuzi
JK KATIKA MKUTANO WA 70 WA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK, MAREKANI, LEO




10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Rais Jakaya Kikwete katika mkutano wa 70 wa Umoja wa Mataifa Jijini New York, MAREKANI
Rais Kikwete akiwa na Rais Filipe Jacinto Nyusi wa Mzumbiji na mawaziri wao wa nchi za nje katika mkutano huo mjini New York.
Rais Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Lars Loekke Rasmussen
Rais Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Finland Mama Tarja Halonen
Rais Kikwete na ujumbe wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na ushurikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba, Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Yussuf Mzee, Katibu...
10 years ago
Michuzi.jpg)
TASWIRA KUTOKA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK
10 years ago
VijimamboMhe. Ridhiwani Kikwete alipotembelea Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa