Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhe. Ridhiwani Kikwete alipotembelea Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze  na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya  Chama cha  Mapinduzi Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa  katika picha ya   pamoja na  Muwakilishi wa Kudumu wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  Balozi Tuvako  Manongi  (kushoto) na  Naibu Mwakilishi wa  Kudumu,  Balozi Ramadhan Mwinyi. Mhe Ridhiwani Kikwete ( Mb)  alikuwa Jijini New York kwa ziara ya kikazi ambapo pia  alikuwa mgeni  rasmi  katika  hafla ya  miaka 38 ya  kuzaliwa kwa  Chama cha Mapinguzi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mhe. Ridhiwani Kikwete atembelea Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze  na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya  Chama cha  Mapinduzi Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa  katika picha ya   pamoja na  Muwakilishi wa Kudumu wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  Balozi Tuvako  Manongi  (kushoto) na  Naibu Mwakilishi wa  Kudumu,  Balozi Ramadhan Mwinyi. Mhe Ridhiwani Kikwete ( Mb)  alikuwa Jijini New York kwa ziara ya kikazi ambapo pia  alikuwa mgeni  rasmi  katika  hafla ya  miaka 38 ya  kuzaliwa kwa  Chama cha Mapinguzi...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATEMBELEA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA NEW YORK

Mhe. Waziri Mkuu Mstaafu , Frederick Sumaye, akiangalia picha za baadhi ya Wawakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa ambao picha zao zinapamba ukumbi wa Mkutano wa Ofisi ya Mwakilishi wa KudumuMhe. Sumaye na Mama Esther wakipozi katika baadhi ya vivutio vilivyomo katika Ofisi Mpya za Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Jengo la Uwakilishi wa Kudumu lilifunguliwa rasmi mwishoni mwa mwezi March na Mhe. Rais Jakaya Mrisho...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya mafunzo kutoka U.S. Army War Collage ofisi za Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania umoja wa mataifa

Mhe. Balozi Tuvako Manongi mwishoni mwa wiki alikutana na ujumbe wa wanawajeshi wanafunzi kutoka chuo cha Kijeshi (U.S. Army War Collage) ambao walikuwa katika ziara ya mafunzo. Miongoni mwa wanafunzi yupo Luteni Kanali Juma Sipe kutoka JWTZ. Ungeni huo ulitumia ziara hiyo kujifunza masuala mbalimbali yanayoihusu Tanzania kitaifa na kimataifa na uwepo wake kama nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa, Mhe. Balozi akielezea jambo mbele ya  kikundi  cha wanajeshi wanafunzi  ambao wapo...

 

10 years ago

Michuzi

sumaye atembelea oisi za mwakilshi wa kudumu wa tanzania katika umoja wa mataifa jijini New york

 Waziri Mkuu  Mstaafu. Mhe. Frederick Sumaye akiandika  katika kitabu cha wageni wakati alipoutembelea  Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mtaifa, mwishoni mwa wiki,  pembezi yake ni  Mama Ester Sumaye, na Balozi Ramadhan Mwinyi, Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa. Mhe. Waziri Mkuu Mstaafu , Frederick Sumaye, akiangalia picha za baadhi ya Wawakilishi wa Kudumu wa  Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa ambao picha zao  zinapamba...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA KUDUMU WA UMOJA WA MATAIFA AUGUSTINE MAIGA AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi wa kudumu wa Umojawa Mataifa(mstaafu) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,New York,Marekani Mhe,Augustine Maiga alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa kudumu wa Umojawa Mataifa(mstaafu) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,New York,Marekani Mhe,Augustine Maiga alipofika Ikulu Mjini Unguja...

 

11 years ago

Michuzi

UHISPANIA NA UTURUKI WACHUANA VIKALI NAFASI YA UJUMBE USIO WA KUDUMU WA BARAZA KUU LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa , jana Alhamisi waliwapigia kura ya siri wajumbe watano wasio wa kudumu watakaojiunga na Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa kuanzia January Mosi 2015.  Mataifa yaliyokuwa yanawania nafasi hizo kwa kuzingatia mgawanyo wa Kikanda ni nafasi moja kutoka nchi za Afrika, ambayo kwa sasa inashikiliwa na Rwanda, nafasi moja kwa kundi la nchi za Asia na Pacific ambayo kwa sasa inashikiliwa na Jamhuri ya...

 

10 years ago

Michuzi

MHE.SPIKA ANNE MAKINDA ASHIRIKI MKUTANO WA IPU UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Dunia wa Maspika wa Mabunge, jana jumatatu, imeanza mkutano wake wa pili na wa siku mbili unaofanyika hapa Umoja wa Mataifa.  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anne Makinda ( Mb) ni miongoni mwa washiriki wa Kamati hiyo ya Maandalizi ukiwahusisha maspika kadhaa kutoka mabunge mbalimbali duniani.Katika mkutano huo wa siku mbili ambao umeandaliwa na Inter-Parliamentary Union ( IPU),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani