Ziara ya mafunzo kutoka U.S. Army War Collage ofisi za Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania umoja wa mataifa
![](http://3.bp.blogspot.com/-hl7lRlvQnOE/VQUkpre_5rI/AAAAAAAHKZk/7OixKpbFRcE/s72-c/unnamed%2B(51).jpg)
Mhe. Balozi Tuvako Manongi mwishoni mwa wiki alikutana na ujumbe wa wanawajeshi wanafunzi kutoka chuo cha Kijeshi (U.S. Army War Collage) ambao walikuwa katika ziara ya mafunzo. Miongoni mwa wanafunzi yupo Luteni Kanali Juma Sipe kutoka JWTZ. Ungeni huo ulitumia ziara hiyo kujifunza masuala mbalimbali yanayoihusu Tanzania kitaifa na kimataifa na uwepo wake kama nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa, Mhe. Balozi akielezea jambo mbele ya kikundi cha wanajeshi wanafunzi ambao wapo...
Michuzi