JB amtaja ‘’muuaji’ wa filamu za Kibongo
Mwigizaji Mkongwe wa filamu za Kibongo, Jacob Steven’JB’ amefunguka sababu ya mashabiki wa filamu hizo kushuka tofauti na zamani ni kwamba waandaji wa filamu wamekuwa wakitoa ovyo filamu hizo bila utaratibu maalum. Aidha amefunguka kuwa zamani filamu zilikuwa zikitoka chache hivyo mashabiki walikuwa na hamu ya kusubiria filamu itakayokuja.
‘’Unajua zamani filamu zilikuwa chache sana ndiyo maana kila shabiki alikuwa anaitafuta sana filamu ndiyo maana zilikuwa na thamani lakini sasa hivi...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Wema aziponda filamu za Kibongo
STAA wa filamu za Bongo, Wema Sepetu, amesema filamu nyingi za Bongo ni za makochi na juisi, hivyo kwa sasa ameamua kuja tofauti. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Wema...
10 years ago
Bongo Movies25 Feb
Filamu za Kibongo za Zidi Kupasua Anga!
Filamu za kitanzania maarufu kama Bongo Movies zimezidi kuvuka mipaka na kupata fursa ya kuonekana zaidi duniani.Hii ni kutokan na hiki ambacho blogger maarufu Jestina George mtanzania aneishi ughaibuni kushea nasi kile alichokutana nacho akiwa ndani ya ndege.
"I was very happy hivi karibuni wakati nasafiri ndani ya Emirates kukutana na hii .BongoMovie ..MkeMchafu humo ndani ninaemjua ni Johari Chagula pekee yake . but lengo lakuleta hapa ni kuwapongeza sana maana ni hatua nzuri and I...
9 years ago
Bongo512 Nov
Steps wadai filamu za nje zinaua soko la movie za kibongo
Kampuni ya usambazaji wa filamu nchini, Steps Entertainment imesema kuongeza kwa filamu za nje nchini kumeharibu soko la filamu za wasanii wa ndani.
Akizungumza na Bongo5 jana, meneja wa makoso wa Steps, Kambarage Ignatus alisema uwezo wa Steps umeshuka kutoka kwenye kusambaza filamu 14 kwa mwezi hadi filamu 6 mpaka 8.
“Filamu za nje zimeharibu soko, sisi tunauza filamu shilingi 4000-5000, filamu za nje zinauzwa shilingi 700-1000. Sisi wateja wetu wengi ni third class halafu ni wanawake na...
10 years ago
Bongo Movies09 Dec
JB ajibu 'post' iliyowekwa na Zamaradi kuhusu filamu za kibongo - "Tatizo liko wapi" ?
Baada ya mwanadada mdau wa filamu nchini, Zamaradi mketema kufunguka yake juu ya filamu za bongo – bongomovies, hatimaye mwigizaji mkongwe nchini Jacob Steven - JB ameamua kuandika haya yafuatayo hapo chini kuelezea baadhi ya mambo anayohoji Zamaradi kama ifuatavyo.
“Kwako Zamaradi na wengine wote.
Kwanza napenda niwashukuru wote kwa jinsi mnavyotuwazia mema. Naomba nichukue nafasi hii kuwapongeza waigizaji wote wa Tz na waandaaji wa filamuU kwa kuthubutu kutengeneza filamu hizi...
9 years ago
Bongo514 Dec
Wapeni movie nzuri, wabongo wanaweza kwenda kuangalia filamu za kibongo kwenye majumba ya sinema
Jumamosi hii nilipata bahati ya kwenda kuangalia filamu ya Going Bongo kwenye jumba la sinema la Century Cinemax lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Going Bongo ni filamu pekee iliyochezwa na Watanzania, inayooneshwa hapo. Kwa wiki hii filamu zingine zinazooneshwa ni pamoja na The Peanut Movie, The Good Dinosaur, Tamasha, Spectre, Hate Story 3, In The Heart of The Sea na zingine.
Mimi niliangia kuangalia Going Bongo kuanzia saa mbili usiku, ikiwa ni siku ya pili tangu ianze...
10 years ago
Bongo Movies15 Sep
Hii ndio filamu ya Kibongo itakaayoneshwa kwenye jumba la cinema la Mlimani City kuanzia tarehe 19 mpaka 25 mwezi huu.
Kwa mara nyingine tena wapenzi wa bongo movies tunatapa fursa ya kwenda kuangalia moja ya kazi za kipekee na ubunifu zaidi kwenye Tasnia ya filamu nchini. Kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam, basi tukutane pale kwenye jumba la cinema la mlimani city kuanzia tarehe 19 mpaka 25 mwezi huu kutazama filamu mpya na ya Kipekee Samaki mchangani. iliyotengenezwa na kampuni ya Kijiweni production chini ya usimamizi wa mtayarishaji Wlison Rumisha.
"Filamu hii inaanza na siku ya faraja kwa ajili ya...
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI