SINEMA ZA KIBONGO LINI ZITABADILIKA?
Baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi. KWENU, Watayarishaji wa sinema za Kibongo. Hongereni sana na kazi. Mimi nipo sawa na mishe zangu zinaendelea vyema kabisa. Leo nimewakumbuka kwa barua kwa lengo la kuwekana sawa kidogo. Ni kweli kuna tofauti kubwa sana katika sinema zetu za sasa na zile za miaka mitano iliyopita lakini kiukweli bado kuna changamoto nyingi. Kuna makosa mengi madogomadogo ambayo yanaachwa na yanaweza...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Dec
Wapeni movie nzuri, wabongo wanaweza kwenda kuangalia filamu za kibongo kwenye majumba ya sinema
![12356420_957636774330521_1441234626_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12356420_957636774330521_1441234626_n-300x194.jpg)
Jumamosi hii nilipata bahati ya kwenda kuangalia filamu ya Going Bongo kwenye jumba la sinema la Century Cinemax lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Going Bongo ni filamu pekee iliyochezwa na Watanzania, inayooneshwa hapo. Kwa wiki hii filamu zingine zinazooneshwa ni pamoja na The Peanut Movie, The Good Dinosaur, Tamasha, Spectre, Hate Story 3, In The Heart of The Sea na zingine.
Mimi niliangia kuangalia Going Bongo kuanzia saa mbili usiku, ikiwa ni siku ya pili tangu ianze...
10 years ago
Bongo Movies21 Feb
Uwanja wa Mashabiki: Wema Sinema Yako na Van Vicker Inatoka Lini?
Habari Bongomovies, Kwanza kabisa nawapongeza kwa kutupa fursa na sisi mashabiki wenu kuweza kutoa yetu ya moyoni kuhusu tasnia yenu ya filamu.
Kwanza kabisa mimi ni mshabiki namba moja kabisa wa “madame” (Wema Sepetu) tangu akiwa Miss na alipoingia kwenye tasina ya filamu ndipo nimezidi kumpenda zaidi, nimekuwa ni moja kati ya followers wake kwenye mitandao yote ya kijamii na zaidi huwa sikosi ile show yake ya “In My Shoes” nimeanza hiyo ili niweze kueleweka vizuri.
Swali langu kwa...
10 years ago
CloudsFM06 Feb
JB amtaja ‘’muuaji’ wa filamu za Kibongo
‘’Unajua zamani filamu zilikuwa chache sana ndiyo maana kila shabiki alikuwa anaitafuta sana filamu ndiyo maana zilikuwa na thamani lakini sasa hivi...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Wema aziponda filamu za Kibongo
STAA wa filamu za Bongo, Wema Sepetu, amesema filamu nyingi za Bongo ni za makochi na juisi, hivyo kwa sasa ameamua kuja tofauti. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Wema...
10 years ago
Bongo Movies19 Dec
Movies za Kibongo Kushuka Bei Mwakani
Baadhi ya waigizaji na wadau wanaofanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment , leo asubuhi walitambulisha bei mpya na muonekano mpya wa DVD covers za filamu zao kwenye ukumbi wa habari maelelzo.
Ambapo wameseama kuanzia mwezi wa pili mwakani CD moja iauzwa shilingi 1500 kwa bei ya rejareja badala ya shilingi 3000 iliyopo sasa.
Mbali na hayo wasanii waliazimia kuendeleza harakati za kupambana na wezi wa kazi zao.
Una maoni gani juu ya hili.
11 years ago
MichuziMJUE SuperModel wa Kibongo Harieth Paul
Mfahamu mwanamitindo maarafu wa kiwango cha kimataifa Herieth Paul, ambaye ni raia wa Tanzania aneyeishi nchini Canada.
Mwanamitindo huyu mwenye umri wa miaka 18 anafanya shughuli zake jijini New York Marekani, London Uingereza na Milan Italia.
10 years ago
Mwananchi18 Oct
TI kufurukuta mbele ya wasanii wa kibongo leo?
10 years ago
Bongo Movies25 Feb
Filamu za Kibongo za Zidi Kupasua Anga!
Filamu za kitanzania maarufu kama Bongo Movies zimezidi kuvuka mipaka na kupata fursa ya kuonekana zaidi duniani.Hii ni kutokan na hiki ambacho blogger maarufu Jestina George mtanzania aneishi ughaibuni kushea nasi kile alichokutana nacho akiwa ndani ya ndege.
"I was very happy hivi karibuni wakati nasafiri ndani ya Emirates kukutana na hii .BongoMovie ..MkeMchafu humo ndani ninaemjua ni Johari Chagula pekee yake . but lengo lakuleta hapa ni kuwapongeza sana maana ni hatua nzuri and I...
10 years ago
GPLAIRTEL YAWAUNGANISHA WAIMBAJI CHIPUKIZI WA KIBONGO NA AKON