AIRTEL YAWAUNGANISHA WAIMBAJI CHIPUKIZI WA KIBONGO NA AKON
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Ommy Dimpoz (kushoto) akizungumza na Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (katikati) huku mdada flani kutoka Airtel akiwasikiliza. Makomandoo wa kibega wakinogesha katika uzinduzi huo.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4nRKuOE6J_A/VkWML-UF97I/AAAAAAAIFm4/mgufi1Um0Ac/s72-c/RadekArtPhoto-6260.jpg)
Mshindi wa Airtel Trace Nalimi Mayunga kukutana na Akon Marekani
![](http://4.bp.blogspot.com/-4nRKuOE6J_A/VkWML-UF97I/AAAAAAAIFm4/mgufi1Um0Ac/s400/RadekArtPhoto-6260.jpg)
Mayunga aliibuka kuwa mshindi wa Airtel Trace Afrika katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 13 barani Afrika yaliyofanyika nchini Kenya mwanzoni mwa mwaka huu na kujishindia zawadi nono ikiwemo deal ya kurekodi wimbo na video pamoja na kupata...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Keyyom9unUg/Vl6jkV39VuI/AAAAAAAIJqw/4hRGIEvkAc4/s72-c/Pic%2B2.jpg)
MSHINDI WA AIRTEL TRACE APATA UJUZI MPYA TOKA KWA AKON
![](http://3.bp.blogspot.com/-Keyyom9unUg/Vl6jkV39VuI/AAAAAAAIJqw/4hRGIEvkAc4/s640/Pic%2B2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-OHCNkUPZRoY/Vl6jmCQQInI/AAAAAAAIJrI/b5iDxdtgzGk/s640/Pic%2B3.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff0zDmjfn08Z1o7ZI3PROuQafz3McoG9lq91GuNKjeQORgAh*KxTdFtHM2KV2vQgRgiy2-soRvfGXHJsvreO4fp*/RadekArtPhoto6098.jpg?width=650)
MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUKUTANA NA AKON MAREKANI
Nalimi Mayunga akiimba katika michuano ya Airtel Trace Music Stars Afrika Mshindi wa shindano la musiki la Airtel Trace Music Stars Afrika , Nalimi Mayunga anatarajiwa kuondoka nchini jumatatu ya tarehe 16 novemba kwenda Marekani kwaajili ya mafunzo na kurekodi single yake na mwanamuziki Nguli Akon. Malimi Mayunga aliibuka kuwa mshindi wa Airtel Trace Afrika katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 13 barani Afrika...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NQ5ZJecLakY/VSvxuPyMOCI/AAAAAAAC3HE/wAFrFHEreKY/s72-c/unnamed.png)
MSHINDI WA SHINDANO LA AIRTEL TRACE STARS AFRICA KUTANGAZWA RASMI NA AKON APRIL 18, 2015
Dar es Salaam, 13 April 2015 Finali ya shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika lililoshirikisha washiriki kutoka nchi 13 barani Afrika chini ya majaji mahiri akiwemo Akon, Devyne Stephens na Lynnsha mwisho mwa wiki hii watashirikiana kumtanga rasmi mshindi wa Airtel Trace Afrika.
Airtel kupitia taarifa yake iliyotumwa na ofisa uhusiano wake Jane Matinde imesema “Shughuli nzima ya kumtangaza mshindi itaonyeshwa kupitia chanel ya Trace inayopatikana katika kituo cha DSTV #325 siku ya...
![](http://3.bp.blogspot.com/-NQ5ZJecLakY/VSvxuPyMOCI/AAAAAAAC3HE/wAFrFHEreKY/s1600/unnamed.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvvIM29Hv*HKsmKr9hLet8DZ-ivGMgX4*nFznwuXvfaFNbQhMem4ZNwptGouJL2bl*w2NH0kB8eZssRKzppbmR9f/AIRTEL.jpg?width=650)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zOltqygyYsg/VkofcrwTuJI/AAAAAAAIGQ0/YdDVj3iFiAM/s72-c/58497eff-e738-40cc-b7ba-b2600a229eb8.jpg)
mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Malimi Mayunga aenda marekani, kuimba na akon
Nalimi Mayunga , mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika, ameondoka nchini Jana kuelekea nchini Marekani kwa lengo la kupata mafunzo na kurekodi nyimbo yake Nalimi ameondoka usiku usiku wa kuamkia leo kwenda kufanya kazi na nguli wa mzuki wa R&B nchini Marekani Bwana Akon ambapo anatarajiwa kukaa muda wa wiki moja kisha kurejea nyumbani tarehe 24 Novemba. Akiongea wakati halfa ya kumuaga, Afisa habari mwandamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Aristide Kwizera alisema”...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-baSUqIY-cUg/Vlm908djxHI/AAAAAAAII1w/PXNfpg3vaUY/s72-c/55dd7e4e-8e41-4e4c-99f3-4860efdd3ffa.jpg)
RADIO 5 YAWAUNGANISHA PSPF NA WADAU WAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-baSUqIY-cUg/Vlm908djxHI/AAAAAAAII1w/PXNfpg3vaUY/s640/55dd7e4e-8e41-4e4c-99f3-4860efdd3ffa.jpg)
11 years ago
MichuziVodacom yawaunganisha Buhigwe kwenye mtandao wa simu za mkononi
11 years ago
GPLVODACOM YAWAUNGANISHA BUHINGWE KWENYE MTANDAO WA SIMU ZA MKONONI
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Charles Gishuli akiuzindua rasmi mnara wa Vodacom kuashiria kuanza kupatikana huduma za kampuni hiyo ya simu nchini katika kijiji cha Bukuba kilichopo Buhigwe mkoani Kigoma. Katikati ni Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Abel Kabona. Vodacom inaendeleza mkakati wake wa kuwaunganisha watanzania wa vijijini na huduma za mawasiliano ya simu za...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania