MSHINDI WA AIRTEL TRACE APATA UJUZI MPYA TOKA KWA AKON
![](http://3.bp.blogspot.com/-Keyyom9unUg/Vl6jkV39VuI/AAAAAAAIJqw/4hRGIEvkAc4/s72-c/Pic%2B2.jpg)
Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Malya akiongeana mshindi wa Airtel Trace Music Stars Nalimi Mayunga wakatialipotembelea ofisi za Airtel mara baada ya kuwasili kutoka nchiniMarekani alipoenda kurekodi video yake na kupata mafunzo kutoka kwamwanamuzi nguli Akon. Safari hii ni moja kati ya zawadi ya kufanyavideo na Akon pamoja na mafunzo alizipata mara baada ya kuibukamshindi wa shindano hilo Afrika .
Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4nRKuOE6J_A/VkWML-UF97I/AAAAAAAIFm4/mgufi1Um0Ac/s72-c/RadekArtPhoto-6260.jpg)
Mshindi wa Airtel Trace Nalimi Mayunga kukutana na Akon Marekani
![](http://4.bp.blogspot.com/-4nRKuOE6J_A/VkWML-UF97I/AAAAAAAIFm4/mgufi1Um0Ac/s400/RadekArtPhoto-6260.jpg)
Mayunga aliibuka kuwa mshindi wa Airtel Trace Afrika katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 13 barani Afrika yaliyofanyika nchini Kenya mwanzoni mwa mwaka huu na kujishindia zawadi nono ikiwemo deal ya kurekodi wimbo na video pamoja na kupata...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff0zDmjfn08Z1o7ZI3PROuQafz3McoG9lq91GuNKjeQORgAh*KxTdFtHM2KV2vQgRgiy2-soRvfGXHJsvreO4fp*/RadekArtPhoto6098.jpg?width=650)
MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUKUTANA NA AKON MAREKANI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NQ5ZJecLakY/VSvxuPyMOCI/AAAAAAAC3HE/wAFrFHEreKY/s72-c/unnamed.png)
MSHINDI WA SHINDANO LA AIRTEL TRACE STARS AFRICA KUTANGAZWA RASMI NA AKON APRIL 18, 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-NQ5ZJecLakY/VSvxuPyMOCI/AAAAAAAC3HE/wAFrFHEreKY/s1600/unnamed.png)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zOltqygyYsg/VkofcrwTuJI/AAAAAAAIGQ0/YdDVj3iFiAM/s72-c/58497eff-e738-40cc-b7ba-b2600a229eb8.jpg)
mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Malimi Mayunga aenda marekani, kuimba na akon
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvvIM29Hv*HKsmKr9hLet8DZ-ivGMgX4*nFznwuXvfaFNbQhMem4ZNwptGouJL2bl*w2NH0kB8eZssRKzppbmR9f/AIRTEL.jpg?width=650)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ipxaxjznh3w/Vbs5AWv8CSI/AAAAAAAHs6Y/gfNdl8vt_OY/s72-c/POST-inta-nicecouple.jpg)
MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUACHIA VIDEO YA KIBAO CHAKE CHA "NICE COUPLE" KWENYE CHANEL YA TRACE LEO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ipxaxjznh3w/Vbs5AWv8CSI/AAAAAAAHs6Y/gfNdl8vt_OY/s640/POST-inta-nicecouple.jpg)
Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star Nalimi Mayunga ameachiakibao chake kipya cha " Nice Couple" video itakayorushwa kuanzia leokatika kituo cha DSTV chanel ya Trace Urban 325
MWANZONI mwa mwezi huu, Mshindi huyo wa Airtel Trace Music star alituamjini Johannesburg South Afrika akitokea nchini Tanzania ili kuanzasafari yake kujiendeleza kimuziki na kufikia ndoto zake mara baada yakuibuka mshindi wa mashindano makubwa yaliyoshirikisha nchi 13 baraniAfrika yaliyofanyika tarehe 18...
10 years ago
GPLBASATA YAMKABIDHI BENDERA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC KWA AJILI YI KUWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA AFRIKA NCHINI KENYA
10 years ago
Habarileo01 Aug
Mshindi wa Airtel Trace aibuka na Nice Couple
MSHINDI wa shindano la Airtel Trace Music Star, Nalimi Mayunga ameachia kibao kipya cha “ Nice Couple” pamoja na video yake.