MSHINDI WA SHINDANO LA AIRTEL TRACE STARS AFRICA KUTANGAZWA RASMI NA AKON APRIL 18, 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-NQ5ZJecLakY/VSvxuPyMOCI/AAAAAAAC3HE/wAFrFHEreKY/s72-c/unnamed.png)
Dar es Salaam, 13 April 2015 Finali ya shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika lililoshirikisha washiriki kutoka nchi 13 barani Afrika chini ya majaji mahiri akiwemo Akon, Devyne Stephens na Lynnsha mwisho mwa wiki hii watashirikiana kumtanga rasmi mshindi wa Airtel Trace Afrika. Airtel kupitia taarifa yake iliyotumwa na ofisa uhusiano wake Jane Matinde imesema “Shughuli nzima ya kumtangaza mshindi itaonyeshwa kupitia chanel ya Trace inayopatikana katika kituo cha DSTV #325 siku ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvvIM29Hv*HKsmKr9hLet8DZ-ivGMgX4*nFznwuXvfaFNbQhMem4ZNwptGouJL2bl*w2NH0kB8eZssRKzppbmR9f/AIRTEL.jpg?width=650)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zOltqygyYsg/VkofcrwTuJI/AAAAAAAIGQ0/YdDVj3iFiAM/s72-c/58497eff-e738-40cc-b7ba-b2600a229eb8.jpg)
mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Malimi Mayunga aenda marekani, kuimba na akon
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4nRKuOE6J_A/VkWML-UF97I/AAAAAAAIFm4/mgufi1Um0Ac/s72-c/RadekArtPhoto-6260.jpg)
Mshindi wa Airtel Trace Nalimi Mayunga kukutana na Akon Marekani
![](http://4.bp.blogspot.com/-4nRKuOE6J_A/VkWML-UF97I/AAAAAAAIFm4/mgufi1Um0Ac/s400/RadekArtPhoto-6260.jpg)
Mayunga aliibuka kuwa mshindi wa Airtel Trace Afrika katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 13 barani Afrika yaliyofanyika nchini Kenya mwanzoni mwa mwaka huu na kujishindia zawadi nono ikiwemo deal ya kurekodi wimbo na video pamoja na kupata...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff0zDmjfn08Z1o7ZI3PROuQafz3McoG9lq91GuNKjeQORgAh*KxTdFtHM2KV2vQgRgiy2-soRvfGXHJsvreO4fp*/RadekArtPhoto6098.jpg?width=650)
MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUKUTANA NA AKON MAREKANI
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Keyyom9unUg/Vl6jkV39VuI/AAAAAAAIJqw/4hRGIEvkAc4/s72-c/Pic%2B2.jpg)
MSHINDI WA AIRTEL TRACE APATA UJUZI MPYA TOKA KWA AKON
![](http://3.bp.blogspot.com/-Keyyom9unUg/Vl6jkV39VuI/AAAAAAAIJqw/4hRGIEvkAc4/s640/Pic%2B2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-OHCNkUPZRoY/Vl6jmCQQInI/AAAAAAAIJrI/b5iDxdtgzGk/s640/Pic%2B3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TxtOkrnBHmI/VMtxHeM1G_I/AAAAAAAHAYA/qzrqamioPJE/s72-c/picture%2B1.jpg)
Airtel yatangaza tano bora ya shindano la Airtel Trace Music Stars
![](http://2.bp.blogspot.com/-TxtOkrnBHmI/VMtxHeM1G_I/AAAAAAAHAYA/qzrqamioPJE/s1600/picture%2B1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-rql6KdR8RR4/VMtxHTeGaEI/AAAAAAAHAX4/1uB7gumgUcU/s1600/picture%2B2%2BT.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rKAdjkzzQWY/VJlIG6-Ue1I/AAAAAAAG5X8/azkcDGLiqWk/s72-c/pic3.jpg)
Airtel yatangaza kumi bora wa wiki wa shindano la Airtel Trace Music Stars
![](http://4.bp.blogspot.com/-rKAdjkzzQWY/VJlIG6-Ue1I/AAAAAAAG5X8/azkcDGLiqWk/s1600/pic3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-w-dHSgYd9_s/VJlIFsZlDOI/AAAAAAAG5Xw/zUwRmU40tlo/s1600/pic%2B1.jpg)
10 years ago
Bongo516 Jan
Benjamin Webi aibuka mshindi wa shindano la Airtel TRACE Music Star Kenya
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ipxaxjznh3w/Vbs5AWv8CSI/AAAAAAAHs6Y/gfNdl8vt_OY/s72-c/POST-inta-nicecouple.jpg)
MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUACHIA VIDEO YA KIBAO CHAKE CHA "NICE COUPLE" KWENYE CHANEL YA TRACE LEO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ipxaxjznh3w/Vbs5AWv8CSI/AAAAAAAHs6Y/gfNdl8vt_OY/s640/POST-inta-nicecouple.jpg)
Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star Nalimi Mayunga ameachiakibao chake kipya cha " Nice Couple" video itakayorushwa kuanzia leokatika kituo cha DSTV chanel ya Trace Urban 325
MWANZONI mwa mwezi huu, Mshindi huyo wa Airtel Trace Music star alituamjini Johannesburg South Afrika akitokea nchini Tanzania ili kuanzasafari yake kujiendeleza kimuziki na kufikia ndoto zake mara baada yakuibuka mshindi wa mashindano makubwa yaliyoshirikisha nchi 13 baraniAfrika yaliyofanyika tarehe 18...