Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benjamin Webi aibuka mshindi wa shindano la Airtel TRACE Music Star Kenya

Kampuni ya simu ya Airtel Kenya na Trace International imemtangaza Benjamin Webi kama mshindi wa shindano la Airtel TRACE Music Star upande wa Kenya. Shindano hilo lililoanza October 5, 2014 ni la kipekee kwakuwa waimbaji walikuwa wakishiriki kwa kujirekodi kwenye simu zao.Nafasi ya pili imekamatwa na Phyllis Mwihaki huku nafasi ya tatu ikienda kwa Trina […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAYUNGA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC STAR AFRIKA

Nalimi Mayunga (katikati) akiwa amefurahi hadi akitaka kuanguka baada ya kutangazwa mshindi kwenye Shindano la Airtel Trace Music Star.
Mayunga (kushoto) akiwa haamini kama jina lake ndio limetajwa ndiye mshindi wa shindano hilo.…

 

9 years ago

Michuzi

mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Malimi Mayunga aenda marekani, kuimba na akon

Nalimi Mayunga , mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika, ameondoka nchini Jana kuelekea nchini Marekani kwa lengo la kupata mafunzo na kurekodi nyimbo yake Nalimi ameondoka usiku usiku wa kuamkia leo  kwenda kufanya kazi na nguli wa mzuki wa R&B nchini Marekani Bwana Akon ambapo anatarajiwa kukaa muda wa wiki moja kisha kurejea nyumbani tarehe 24 Novemba. Akiongea wakati halfa ya kumuaga, Afisa habari mwandamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Aristide Kwizera alisema”...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAMTANGAZA MSHINDI WA "AIRTEL TRACE MUSIC STAR"

Meneja masoko wa Airtel Tanzania, Bi.Aneth Muga, akizungumza jambo kabla ya kumkabidhi hundi ya shilingi milioni 50 mshindi wa Airtel Trace Music Star, Nalimi Mayunga. ...Akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 50 Nalimi Mayunga.…

 

10 years ago

Habarileo

Mshindi wa Airtel Trace aibuka na Nice Couple

MSHINDI wa shindano la Airtel Trace Music Star, Nalimi Mayunga ameachia kibao kipya cha “ Nice Couple” pamoja na video yake.

 

10 years ago

GPL

BASATA YAMKABIDHI BENDERA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC KWA AJILI YI KUWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA AFRIKA NCHINI KENYA

Meneja Masoko wa Airtel, Anet Muga. akiongea wakati wa tukio la kumuaga na kumkabithi bendera ya taifa kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha nchi katika fainali za Afrika za Airtel TraceMusic Stars zitakazofanyika Jumamosi Machi 28, nchini Kenya na kushirikisha nchi 13, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi za BASATA jijini Dar es Salaam jana. pichani katikati ni Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatangaza tano bora ya shindano la Airtel Trace Music Stars

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5 bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars.Kulia ni Meneja Masoko wa Airtel,Anethy Muga.Meneja Masoko wa Airtel Tanzania,Anethy Muga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5 bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars.Kushoto ni Meneja Uhusiano wa...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatangaza kumi bora wa wiki wa shindano la Airtel Trace Music Stars

Meneja uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando (kulia)  na Meneja masoko wa Airtel Tanzania, Bi. Aneth Muga (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa Airtel Trace Music Stars leo mara baada ya washiriki hao kuongea na waandishi wa habari kwaajili ya kuomba wananchi kuwapigia kura.Meneja uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipotangaza washiriki waliongia nafasi ya kumi bora katika mashindano ya Airtel Trace...

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA SHINDANO LA AIRTEL TRACE STARS AFRICA KUTANGAZWA RASMI NA AKON APRIL 18, 2015

 Dar es Salaam, 13 April 2015 Finali ya shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika lililoshirikisha washiriki kutoka nchi 13 barani Afrika chini ya majaji mahiri akiwemo  Akon, Devyne Stephens na Lynnsha  mwisho mwa wiki hii watashirikiana kumtanga rasmi mshindi wa Airtel Trace Afrika. Airtel kupitia taarifa yake iliyotumwa na ofisa uhusiano wake Jane Matinde imesema “Shughuli nzima ya kumtangaza mshindi itaonyeshwa  kupitia chanel ya Trace inayopatikana katika kituo cha DSTV #325  siku ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani