Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshindi wa Airtel Trace Nalimi Mayunga kukutana na Akon Marekani

Mshindi wa shindano la muziki la Airtel Trace Music Stars Afrika Nalimi Mayunga anatarajiwa kuondoka nchini jumatatu ya tarehe 16 novemba kwenda Marekani kwaajili ya mafunzo na kurekodi single yake na mwanamuziki Nguli Duniani, Msenegal Akon.
Mayunga aliibuka kuwa mshindi wa Airtel Trace Afrika katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 13 barani Afrika yaliyofanyika nchini Kenya mwanzoni mwa mwaka huu na kujishindia zawadi nono ikiwemo deal ya kurekodi wimbo na video pamoja na kupata...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUKUTANA NA AKON MAREKANI‏

Nalimi Mayunga akiimba katika michuano ya Airtel Trace Music Stars Afrika Mshindi wa shindano la musiki la Airtel Trace Music Stars Afrika , Nalimi Mayunga anatarajiwa kuondoka nchini jumatatu ya tarehe 16 novemba kwenda Marekani kwaajili ya mafunzo na kurekodi single yake na mwanamuziki Nguli Akon. Malimi Mayunga aliibuka kuwa mshindi wa Airtel Trace Afrika katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 13 barani Afrika...

 

9 years ago

Michuzi

mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Malimi Mayunga aenda marekani, kuimba na akon

Nalimi Mayunga , mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika, ameondoka nchini Jana kuelekea nchini Marekani kwa lengo la kupata mafunzo na kurekodi nyimbo yake Nalimi ameondoka usiku usiku wa kuamkia leo  kwenda kufanya kazi na nguli wa mzuki wa R&B nchini Marekani Bwana Akon ambapo anatarajiwa kukaa muda wa wiki moja kisha kurejea nyumbani tarehe 24 Novemba. Akiongea wakati halfa ya kumuaga, Afisa habari mwandamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Aristide Kwizera alisema”...

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUACHIA VIDEO YA KIBAO CHAKE CHA "NICE COUPLE" KWENYE CHANEL YA TRACE LEO.


Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star Nalimi Mayunga ameachiakibao chake kipya cha " Nice Couple" video itakayorushwa kuanzia leokatika kituo cha DSTV chanel ya Trace Urban 325
MWANZONI mwa mwezi huu, Mshindi huyo wa Airtel Trace Music star alituamjini Johannesburg South Afrika akitokea nchini Tanzania  ili kuanzasafari yake kujiendeleza kimuziki na kufikia ndoto zake mara baada yakuibuka mshindi wa mashindano makubwa yaliyoshirikisha nchi 13 baraniAfrika  yaliyofanyika tarehe 18...

 

9 years ago

GPL

MAYUNGA NALIMI AELEKEA MAREKANI KUREKODI VIDEO NA AKON

Mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi akiongea na waandishi (hawapo pichani) wakati wa tukio la kumuaga kwa ajili ya kwenda nchini Marekani. Hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika katika Makao Makuu ya Ofisi ya Airtel Morocco jijini Dar Es Salaam. Pichani katikati ni Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde, akifatiwa na Mwalimu wa sauti Tony Joet. Ofisa Uhusiano na Mwandamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa...

 

10 years ago

GPL

MAYUNGA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC STAR AFRIKA

Nalimi Mayunga (katikati) akiwa amefurahi hadi akitaka kuanguka baada ya kutangazwa mshindi kwenye Shindano la Airtel Trace Music Star.
Mayunga (kushoto) akiwa haamini kama jina lake ndio limetajwa ndiye mshindi wa shindano hilo.…

 

9 years ago

Michuzi

MSHINDI WA AIRTEL TRACE APATA UJUZI MPYA TOKA KWA AKON

Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Malya akiongeana mshindi wa Airtel Trace Music Stars Nalimi Mayunga wakatialipotembelea ofisi za Airtel mara baada ya kuwasili kutoka nchiniMarekani alipoenda kurekodi video yake na kupata mafunzo kutoka kwamwanamuzi nguli Akon. Safari hii ni moja kati ya zawadi ya kufanyavideo na Akon pamoja na mafunzo alizipata mara baada ya kuibukamshindi wa shindano hilo Afrika . Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano...

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA SHINDANO LA AIRTEL TRACE STARS AFRICA KUTANGAZWA RASMI NA AKON APRIL 18, 2015

 Dar es Salaam, 13 April 2015 Finali ya shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika lililoshirikisha washiriki kutoka nchi 13 barani Afrika chini ya majaji mahiri akiwemo  Akon, Devyne Stephens na Lynnsha  mwisho mwa wiki hii watashirikiana kumtanga rasmi mshindi wa Airtel Trace Afrika. Airtel kupitia taarifa yake iliyotumwa na ofisa uhusiano wake Jane Matinde imesema “Shughuli nzima ya kumtangaza mshindi itaonyeshwa  kupitia chanel ya Trace inayopatikana katika kituo cha DSTV #325  siku ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani