Vodacom yawaunganisha Buhigwe kwenye mtandao wa simu za mkononi
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Charles Gishuli akiuzindua rasmi mnara wa Vodacom kuashiria kuanza kupatikana huduma za kampuni hiyo ya simu nchini katika kijiji cha Bukuba kilichopo Buhigwe mkoani Kigoma. Pembeni yake ni Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim. Wengine ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya hiyo Malcelina Mbehoma na Mwenyekiti wa Halmashauri Abel Kabona. Vodacom inaendeleza mkakati wake wa kuwaunganisha watanzania wa vijijini na huduma za mawasiliano ya simu za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLVODACOM YAWAUNGANISHA BUHINGWE KWENYE MTANDAO WA SIMU ZA MKONONI
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
DC Singida azindua duka jipya la kisasa la mtandao wa simu za mkononi la Halotel
Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi akikata utepe kuzindua duka jipya la mtandao mpya wa simu za Mkononi wa Halotel katika hafla fupi ya uzinduzi wa duka hilo uliofanyika jana kwenye viwanja vya ofisi za kampuni hiyo eneo la Stendi ya zamani.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Saidi Amanzi akizungumza na wafanyakazi wa Halotel kabla ya kukata utepe kuzindua duka jipya Mkoani Singida jana.
Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Halotel Tanzania, Khanh Duy akimwelekeza Mkuu wa Wilaya ya...
11 years ago
MichuziNipashe, The Guardian yashirikiana na Vodacom kutoa taarifa kwa njia ya simu ya mkononi
10 years ago
MichuziUNUNUAJI NA UUZAJI WA BIDHAA UMERAHISISHWA — KAMPUNI YA MASOKO KWA NJIA YA MTANDAO YAZINDUA “APP” YA SIMU ZA MKONONI TANZANIA
Mchakato wa uuzaji na ununuaji wa bidhaa umerahisishwa sana kwa kadri waendashaji wa makampuni ya biashara kwa njia ya intaneti wanavyozidi kuwa wabunifu na wagunduzi zaidi. Kaymu Tanzania, kampuni inayoongoza kwa kuuza na kununua vitu kwa njia ya mtandao imejitanua zaidi baada ya kuzindua app (programu ya simu) yake Septemba 2014.Kaymu Tanzania imezindua huduma zake za kwanza za programu ya simu nchini, hivyo kuwawezesha watumiaji wa Android kufanya manunuzi ya bidhaa na kuweka oda moja kwa...
10 years ago
MichuziMAGAZETI, MAJARIDA NA VITABU VYOTE KWENYE SIMU YAKO YA MKONONI.
Je umekwishawahi kukwama kwenye foleni ukajutia kutobeba gazeti walau likusaidie kusogeza muda mbele? Je umekwisha wahi kutafuta chanzo cha habari za uhakika kwenye simu yako ukakikosa?
Je umekwishawahi kuambiwa kuna tangazo la kazi au tenda ila ukashindwa kuliona kwa vile lipo kwenye gazeti la siku za nyuma? Je umeshawahi kulazimika kuchoma au kutupa magazeti ya siku za nyuma kwa sababu yamejaa sana nyumbani kwako? Au je umeshawahi kuhisi kuna umuhimu wa kuona watoto wako wanachojifunza...
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Wateja wa Tigo sasa wanaweza kufurahia nyimbo millioni 36 kwenye simu zao za mkononi za smartphones
Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tigo Music( Tigo Kiboko Yako) ambayo itawawezesha wasanii wa ndani kuweza kupata kipato kwa kusikilizwa nyimbo zao kupitia simu za mkononi, pia itaambatana na tamasha kubwa litakalofanyika tarehe 24 mwezi huu viwanja vya Leaders Kinondoni.
Tigo Tanzania imetangaza uzinduzi wa Muziki wa Tigo ujulikanao kama “Tigo Music” kwa kushirikiana na Deezer, ambayo ni huduma ya kimataifa...
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia), akitoa hutuba...
10 years ago
MichuziKAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Simu za mkononi sasa kuwafikia wanavijiji