Wateja wa Tigo sasa wanaweza kufurahia nyimbo millioni 36 kwenye simu zao za mkononi za smartphones
Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tigo Music( Tigo Kiboko Yako) ambayo itawawezesha wasanii wa ndani kuweza kupata kipato kwa kusikilizwa nyimbo zao kupitia simu za mkononi, pia itaambatana na tamasha kubwa litakalofanyika tarehe 24 mwezi huu viwanja vya Leaders Kinondoni.
Tigo Tanzania imetangaza uzinduzi wa Muziki wa Tigo ujulikanao kama “Tigo Music” kwa kushirikiana na Deezer, ambayo ni huduma ya kimataifa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Wateja wa Tigo na ZANTEL sasa kufurahia huduma salama na uhakika ya kutumiana fedha kwenye Mitandao yao kwa 100%
Meneja Chapa wa Tigo William Mpinga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mjini Zanzibar mapema leo kuhusu ushirikiano kati ya TigoPesa na EzyPesa ambapo sasa wateja kutoka mitandao hiyo miwili wataweza kutuma na kupokea pesa kutoka mtandao hiyo moja kwa moja kutoka kwa wakala wa mtandao wao bila kuwa na ulazima tena wa mteja kutafuta wakala wa mtandao wa mtu aliyemtumia pesa.
Mkurugenzi wa Huduma za Kutuma na Kupokea Fedha wa Tigo Andrew Hodgson akitoa maelezo kwa waandishi...
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Wateja wa Tigo kupata huduma za kibenki kupitia simu zao
Mkuu wa huduma za kifedha wa Tigo, Bwana Andrew Hodgson, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na huduma za kibenki kwa wateja wa Tigo. Kulia ni Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja.
Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.
Kampuni ya Tigo imeingia katika ushirikiano na mabenki makubwa 17 nchini ili kuwapatia wateja wa Tigo pesa uwezo wa kutuma na kupokea pesa kutoka katika akaounti zao za benki kwenda kwenye simu...
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
Wanafunzi wa vyuo kufurahia huduma ya kupigiana simu bure toka TIGO
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/RHrwGmoxFnQ/default.jpg)
Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.
Tigo Tanzania leo imekuwa...
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Kampuni ya Tigo Tanzania kusambaza simu za smartphones wakati wa maonesho ya Nanenane
Meneja wa mawasiliano wa Tigo Tanzania, John Wanyancha akiongea na wanahabari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa Tigo kwenye maonesho ya Nane nane kitaifa mwaka huu, kushoto ni mwenyekiti wa TASO, Engelbert Moyo.
Wakulima na wageni mbalimbali watakaoshiriki kwenye maonesho ya nanenane ya mwaka huu wanatarajia kupata punguzo la bei ya simu za smartphones kutoka Tigo katika jitihada za kampuni ya mawasiliano ya simu kuwapatia watanzania wengi iwezekanavyo kupata kufurahia mambo...
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo yawawezesha waendesha BodaBoda Jijini Mwanza
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza juzi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na mpango wa Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi na kulipia kupitia Tigo Pesa.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo madereva wa Bodaboda na mpango wa Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia...
11 years ago
Mwananchi11 Jul
AFRIKA MASHARIKI: Wateja wa simu za mkononi EAC kupungizwa gharama