Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda
![](https://img.youtube.com/vi/RHrwGmoxFnQ/default.jpg)
Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/650FoUqjosboosnqcbwFQzV5SscolYStB76Nx6evOOvSsqJ6z4tR-HsCVfons1E*ZclG0NE-Fe2Tnju*MJIILXPxIhS5wxp1/001.MEZALAUNCH.jpg?width=650)
WATEJA WA VODACOM M-PESA SASA KUTUMA PESA NCHINI KENYA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-nb5UQQh3DbU/VP2W7YR4PsI/AAAAAAAHJE0/m0OAq2feAG0/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom
10 years ago
Bongo509 Mar
Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bLEybj6Y_vM/U_ci-4SylbI/AAAAAAAGBWA/CsXSA1CSstI/s72-c/unnamed.jpg)
Airtel Money yazindua rasmi huduma ya kutuma/kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti ya tigo pesa
![](http://1.bp.blogspot.com/-bLEybj6Y_vM/U_ci-4SylbI/AAAAAAAGBWA/CsXSA1CSstI/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFIziE9N6wDzK6U40Cs*Zx1yMnGD5QuoxEDDRis4xOB3ji7w89VDuQqahVIYPkwundAoIfzVLWFQKbyeDHVbtB0l/DSC_0056.jpg?width=650)
AIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA, KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA KWENYE AKAUNTI YA TIGO PESA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Pic-1.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff0Mmf33OeLe0jo4QazUM1i*rAGCAnXJYqiA9rCPlGpzwVZIqtjaGcteNDNjxylgKAbfTNEZrEnXmXPrPZlqo3UE/Pic1.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-EbVmOjLBkOk/VJpfBr1w4dI/AAAAAAAG5es/JqEDh0Vdk14/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Wateja wa Airtel Money kutuma pesa bure kwa msimu huu wa siku kuu
![](http://4.bp.blogspot.com/-EbVmOjLBkOk/VJpfBr1w4dI/AAAAAAAG5es/JqEDh0Vdk14/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo Mkurugenzi wa Mawasiliano Bi Beatrice Singano Mallya alisema” Tumeona ni vyema kuwazawadia wateja wetu nchin nzima na kuwawezesha kutuma pesa BURE wakati wa msimu huu wa sikukuu kwani tunatambua wateja wetu na watanzania wanafanya miamala...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe6WHi4gd8FQRoDn*4stbPC8Td8WqbzLApRiuEZe466rN7TU9CJCOAS1zjuVb*fQhmS6lEs9Dx92YOhlA1gTqHmx/BeatriceSingano.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL MONEY KUTUMA PESA BURE KWA MSIMU HUU WA SIKU KUU