Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom
![](http://3.bp.blogspot.com/-nb5UQQh3DbU/VP2W7YR4PsI/AAAAAAAHJE0/m0OAq2feAG0/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Huduma hii mpya ambayo imebuniwa na makampuni haya yanayoongoza kutoka huduma za mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki itawawezesha wateja wake kutuma pesa kwa kutozwa viwango sawa na vinavyotumika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/650FoUqjosboosnqcbwFQzV5SscolYStB76Nx6evOOvSsqJ6z4tR-HsCVfons1E*ZclG0NE-Fe2Tnju*MJIILXPxIhS5wxp1/001.MEZALAUNCH.jpg?width=650)
WATEJA WA VODACOM M-PESA SASA KUTUMA PESA NCHINI KENYA
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/RHrwGmoxFnQ/default.jpg)
Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...
10 years ago
Bongo509 Mar
Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya
5 years ago
The Africa Report07 Apr
Vodacom and Safaricom in the driver’s seat for M-Pesa
5 years ago
Quartz Africa10 Apr
Safaricom, Vodacom buy Vodafone's M-Pesa stake
5 years ago
Reuters06 Apr
Safaricom, Vodacom finalise M-Pesa acquisition from Britain's Vodafone
5 years ago
Forbes06 Apr
Vodacom And Safaricom Acquire M-Pesa To Accelerate Mobile Money Services In Africa
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Pic-1.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff0Mmf33OeLe0jo4QazUM1i*rAGCAnXJYqiA9rCPlGpzwVZIqtjaGcteNDNjxylgKAbfTNEZrEnXmXPrPZlqo3UE/Pic1.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE