Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATEJA WA VODACOM M-PESA SASA KUTUMA PESA NCHINI KENYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa kutuma na kupokea pesa nchini Kenya kwa njia ya M-PESA. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo wa Benki Kuu ya Tanzania, Bernard Dadi (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Isack Nchunda wakimsikiliza jambo Meneja wa Mifumo ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Huduma hii mpya ambayo imebuniwa na makampuni haya yanayoongoza kutoka huduma za mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki itawawezesha wateja wake kutuma pesa kwa kutozwa viwango sawa na vinavyotumika...

 

5 years ago

Michuzi

Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda

Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...

 

10 years ago

Bongo5

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa […]

 

9 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE

Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ofa kwa wateja wake itakayowawezesha kutuma pesa kiasi chochote cha pesa kupitia huduma ya Airtel Money bure. Pichani ni Stephen Kimea Meneja kitengo cha Airtel Money (kushoto) na Aliesikia Peter Afisa kitengo cha Airtel Money. Meneja Uhusiano wa Airtel , Jackson Mmbando (katikati) pamoja na Meneja kitengo cha Airtel...

 

9 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE‏

Meneja Uhusiano wa Airtel , Jackson Mmbando akionge na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ofa kwa wateja wake itakayowawezesha kutuma pesa kiasi chochote cha pesa kupitia huduma ya Airtel Money bure. Pichani ni Stephen Kimea Meneja kitengo cha Airtel Money (kushoto) na Aliesikia Peter Afisa kitengo cha Airtel Money. Meneja Uhusiano wa Airtel , Jackson Mmbando (katikati) pamoja na Meneja kitengo cha Airtel Money, Stephen...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wa Airtel Money kutuma pesa bure kwa msimu huu wa siku kuu

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa mara nyingi tena imewazawadia wateja wake wakatia wa msimu huu wa sikukuu na  OFA maalum itakayowawezesha  kutuma pesa bila kikomo BURE kupitia Huduma ya Airtel Money.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo Mkurugenzi wa Mawasiliano Bi Beatrice Singano Mallya alisema” Tumeona ni vyema kuwazawadia wateja wetu nchin nzima na kuwawezesha  kutuma pesa BURE wakati wa msimu huu wa sikukuu kwani tunatambua wateja wetu na watanzania wanafanya miamala...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL MONEY KUTUMA PESA BURE KWA MSIMU HUU WA SIKU KUU‏

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya. Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa mara nyingi tena imewazawadia wateja wake wakatia wa msimu huu wa sikukuu na  OFA maalum itakayowawezesha  kutuma pesa bila kikomo BURE kupitia Huduma ya Airtel Money. Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo Mkurugenzi wa Mawasiliano Bi Beatrice Singano Mallya alisema” Tumeona ni vyema kuwazawadia wateja...

 

11 years ago

Mwananchi

Vodacom yawaangukia wateja wa M- Pesa

Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom, imewaomba radhi wateja wake wanaotumia huduma ya M - Pesa kutokana na hitilafu za kiufundi zilizosababisha kusimama kwa huduma hiyo kwa siku kadhaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani