WATEJA WA TIGOPESA WAONGEZEWA KIASI CHA KUWEKA NA KUTUMA PESA
![](https://img.youtube.com/vi/YqluI4LOvhw/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/650FoUqjosboosnqcbwFQzV5SscolYStB76Nx6evOOvSsqJ6z4tR-HsCVfons1E*ZclG0NE-Fe2Tnju*MJIILXPxIhS5wxp1/001.MEZALAUNCH.jpg?width=650)
WATEJA WA VODACOM M-PESA SASA KUTUMA PESA NCHINI KENYA
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa kutuma na kupokea pesa nchini Kenya kwa njia ya M-PESA. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo wa Benki Kuu ya Tanzania, Bernard Dadi (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Isack Nchunda wakimsikiliza jambo Meneja wa Mifumo ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-nb5UQQh3DbU/VP2W7YR4PsI/AAAAAAAHJE0/m0OAq2feAG0/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom
Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Huduma hii mpya ambayo imebuniwa na makampuni haya yanayoongoza kutoka huduma za mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki itawawezesha wateja wake kutuma pesa kwa kutozwa viwango sawa na vinavyotumika...
10 years ago
Bongo509 Mar
Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya
Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa […]
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/RHrwGmoxFnQ/default.jpg)
Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda
Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Pic-1.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE
Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ofa kwa wateja wake itakayowawezesha kutuma pesa kiasi chochote cha pesa kupitia huduma ya Airtel Money bure. Pichani ni Stephen Kimea Meneja kitengo cha Airtel Money (kushoto) na Aliesikia Peter Afisa kitengo cha Airtel Money. Meneja Uhusiano wa Airtel , Jackson Mmbando (katikati) pamoja na Meneja kitengo cha Airtel...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff0Mmf33OeLe0jo4QazUM1i*rAGCAnXJYqiA9rCPlGpzwVZIqtjaGcteNDNjxylgKAbfTNEZrEnXmXPrPZlqo3UE/Pic1.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE
Meneja Uhusiano wa Airtel , Jackson Mmbando akionge na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ofa kwa wateja wake itakayowawezesha kutuma pesa kiasi chochote cha pesa kupitia huduma ya Airtel Money bure. Pichani ni Stephen Kimea Meneja kitengo cha Airtel Money (kushoto) na Aliesikia Peter Afisa kitengo cha Airtel Money. Meneja Uhusiano wa Airtel , Jackson Mmbando (katikati) pamoja na Meneja kitengo cha Airtel Money, Stephen...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-EbVmOjLBkOk/VJpfBr1w4dI/AAAAAAAG5es/JqEDh0Vdk14/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Wateja wa Airtel Money kutuma pesa bure kwa msimu huu wa siku kuu
![](http://4.bp.blogspot.com/-EbVmOjLBkOk/VJpfBr1w4dI/AAAAAAAG5es/JqEDh0Vdk14/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo Mkurugenzi wa Mawasiliano Bi Beatrice Singano Mallya alisema” Tumeona ni vyema kuwazawadia wateja wetu nchin nzima na kuwawezesha kutuma pesa BURE wakati wa msimu huu wa sikukuu kwani tunatambua wateja wetu na watanzania wanafanya miamala...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe6WHi4gd8FQRoDn*4stbPC8Td8WqbzLApRiuEZe466rN7TU9CJCOAS1zjuVb*fQhmS6lEs9Dx92YOhlA1gTqHmx/BeatriceSingano.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL MONEY KUTUMA PESA BURE KWA MSIMU HUU WA SIKU KUU
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya. Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa mara nyingi tena imewazawadia wateja wake wakatia wa msimu huu wa sikukuu na OFA maalum itakayowawezesha kutuma pesa bila kikomo BURE kupitia Huduma ya Airtel Money. Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo Mkurugenzi wa Mawasiliano Bi Beatrice Singano Mallya alisema†Tumeona ni vyema kuwazawadia wateja...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFIziE9N6wDzK6U40Cs*Zx1yMnGD5QuoxEDDRis4xOB3ji7w89VDuQqahVIYPkwundAoIfzVLWFQKbyeDHVbtB0l/DSC_0056.jpg?width=650)
AIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA, KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA KWENYE AKAUNTI YA TIGO PESA
Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Bwana Sunil Colasa akiongea na waandishi wa habari leo hii (hawapo pichani) akiwatangazia kuanza kutumika rasmi kwa huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine moja kwa moja kwenye akaunti zao za Airtel money, (interoperability) huduma hii ni ya kwanza Duniani ambapo inaaminika kuwa itasaidia sana wateja wa Airtel Money na Wakala kuokoa muda wa kupata na kutoa huduma kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania