Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TI kufurukuta mbele ya wasanii wa kibongo leo?

Mwanamuziki wa Marekani katika miondoko ya Hiphop ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki, mwigizaji na mwekezaji, Clifford Joseph Harris Jr, almaarufu kama T.I. amethibitishwa kuwa mmoja kati ya wanamuziki wa kimataifa watakaotumbuiza katika kilele cha shangwe za Serengeti Fiesta zitakazofanyika jijini Dar es salaam leo hii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Vanessa Mdee Afunguka Sababu ya Kung’ara Kimataifa Kuliko Wasanii Wengine wa Kike wa Kibongo

Vanessa-Afrima

Staa wa Bongo Fleva,Vanessa Mdee ‘V Money’ amefunguka sababu za kung’ara kwa mziki wake na kubahatika kupata tuzo kadhaa za Kimataifa kuliko wasanii wengine wa kike wa Kibongo.

“Ujue kuna tuzo zingine zinatofautiana kuna zingine wapo wasanii wa Kitanzania ambao tuzo fulani wametajwa, na zingine hawakubahatika kuwepo,ukweli ni kuwa wale wanaoandaa tuzo pia wanaangalia ni msanii gani anafahamika zaidi kutoka nchi fulani yaani msanii anakuwa anajiuza mwenyewe zaidi Kimataifa,’’Alisema Vanessa...

 

11 years ago

Mwananchi

awataka wasanii Bongo fleva kuwa makini na kuacha sifa ili kusonga mbele

Tanzania imejaaliwa kuwa na vipaji vya wanamuziki wengi wa miondoko ya kila aina na baadhi yao wakifanya kazi zaidi ya moja katika fani hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani