Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram

1663203_863176703798731_1287169950_n

Diamond Platnumz si tu msanii aliyechukua tuzo kubwa zaidi kuliko wasanii wote wa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best Worldwide Act: Africa/India), bali pia ndiye msanii anayeishi barani Afrika mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram kwa sasa.

1663203_863176703798731_1287169950_n

Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.

Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.

Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.

1. Diamond...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9

Power couple ya Tanzania, Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio inayoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hii ni orodha kamili (July 31,2014) 1.Diamond Platnumz 183,205 2.Wema Sepetu 168,954 3.Elizabeth ‘Lulu’ Michael 129,047 4.Jokate Mwegelo 102,168 5.Millard Ayo 102,068 6.Jacqueline Wolper 99,545 7. Ommy Dimpoz 95,415 8.Aunty Ezekiel 94,379 9.Kajala 88,769 […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive gossip:Diamond Platnumz aongoza kuwa na wafuasi wengi mtandao wa Instagram

DIAMOND789

 

Diamond Platinum mwenye Followers 571K ‘Kings of Instagram fans’ kwa mujibu wa Modewji blog, utafiti uliofanywa na timu nzima ya dewjiblog.com

… afuatiwa kwa karibu na Wema Sepetu ..wamo pia Kajala Masanja, MillardAyo, Veemoney, Zari 

Na Andrew Chale wa MOdewji blog

Huenda bado ujapata kutembelea mitandao ya kijamii ikiwemo Instagrma, Twitter na Facebook ambayo kwa sasa  ndio imekuwa kimbilio la mastaa wengi wa Bongo wakiwemo wa filamu, muziki na watu maalufu.

Uchunguzi wa kina uliofanywa...

 

10 years ago

Bongo5

Unataka followers wengi Instagram, fanya hivi

Labda kama wewe ni staa, lakini kama ni mtu wa kawaida, kupata followers wengi kwenye Instagram sio rahisi. Lakini haya ni mambo kadhaa ambayo ukifanya huenda followers wakaongezeka. 1. Caption Beyoncé huweka picha nzuri sana kwenye Instagram lakini kama angekuwa anaziwekea caption, zingependeza zaidi. Hata hivyo huyo ni staa tayari hivyo hili linaweza lisiwe na […]

 

9 years ago

Bongo5

Kim Kardashian ampiku Beyonce kama staa mwenye followers wengi Instagram

Beyonce amenyang’anywa rasmi taji la staa mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Kim Kardashian sasa amekuwa staa mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mtandao huo. Staa huyo wa Keeping Up With the Kardashians na mke wa Kanye West ana followers milioni 44.1 huku Beyonce akiwa nao milioni 44. Kim anaweza kuwa amemzidi Beyonce kwasababu […]

 

9 years ago

GPL

MASTAA WA KIUME WENYE MADEMU ‘VISU’ ZAIDI AFRIKA

Peter Okoye akiwa na mkewe. KILA mwanaume anatamani kuwa na mpenzi mzuri, lakini linapokuja suala la mapenzi kigezo cha uzuri wa mtu huweza kuwa na tafsiri pana kiasi kwamba wahenga hawakukosea waliposema kipendacho roho hula nyama mbichi huku Wazungu wakiwa na usemi wa: ‘Beauty is in the eyes of the beholder’ wakiwa na maana kwamba uzuri upo ndani ya macho ya mtu atazamaye. Lakini misemo yote hiyo bado haiwezi kutengua...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AFIKISHA FOLLOWERS LAKI TANO INSTAGRAM

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz'. Muonekano wa Account yake Instagram.…

 

10 years ago

Bongo5

Instagram yafuta 18% ya akaunti feki, Justin Bieber, Kim Kardashian wapoteza followers zaidi ya milioni 4

Mtandao wa Instagram wiki hii umewapa majonzi baadhi ya watumiaji wake baada ya kufanya operation ya kufuta akaunti feki (spammy accounts ) na hivyo kuathiri namba ya followers kwa watu wengi. Asilimia 18.9 ya akaunti (fake) za Instagram zimefutwa kuanzia Jumatano hadi Alhamisi. “We’ve been deactivating spammy accounts from Instagram on an ongoing basis to […]

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio idadi ya followers wa Vanessa Mdee Instagram… kawagusa Diamond & Wema Sepetu!

Najua nina watu wangu ambao ni mashabiki wakubwa wa staa kutoka bongo flevani, Vanessa Mdee a.k.a Vee Money. Najua pia mmekuwa mkimfuatilia Vanessa kwenye matukio yake mengi na kwa ajili ya upendo wenu mmeamua pia kuwa karibu naye kwenye Instagram ili chochote atakachokifanya kisikupite. Ukitembelea Instagram page ya Vee Money @VanessaMdee sasa hivi utakutana na […]

The post Hii ndio idadi ya followers wa Vanessa Mdee Instagram… kawagusa Diamond & Wema Sepetu! appeared first on...

 

10 years ago

Africanjam.Com

ORODHA YA WATU 50 WENYE USHAWISHI ZAIDI LIGI YA UINGEREZA


Jarida la Sportsmail kuamkia jana wametaja majina ya watu 50 wenye ushawishi zaidi katika ligi kuu ya Uingereza EPL, cheki orodha yenyewe hapa chini.50 Steven Gerrard, 49 Peter Ridsdale, 48 Didier Drogba, 47 Karren Brady, 46 Philip Don, 45 Sol Campbell, 44 Gary Lineker, 43 Carlos Tevez, 

Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani