Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Exclusive gossip:Diamond Platnumz aongoza kuwa na wafuasi wengi mtandao wa Instagram

DIAMOND789

 

Diamond Platinum mwenye Followers 571K ‘Kings of Instagram fans’ kwa mujibu wa Modewji blog, utafiti uliofanywa na timu nzima ya dewjiblog.com

… afuatiwa kwa karibu na Wema Sepetu ..wamo pia Kajala Masanja, MillardAyo, Veemoney, Zari 

Na Andrew Chale wa MOdewji blog

Huenda bado ujapata kutembelea mitandao ya kijamii ikiwemo Instagrma, Twitter na Facebook ambayo kwa sasa  ndio imekuwa kimbilio la mastaa wengi wa Bongo wakiwemo wa filamu, muziki na watu maalufu.

Uchunguzi wa kina uliofanywa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive gossip: Nuh Mziwanda wa Shilole, ‘achafua’ hali ya hewa kwenye mtandao wa Instagram

 

 

sadNuh Mziwanda akiwa na mchumba wake, Shilole

..Maneno  ya ‘Sadd na Sadness’, ‘Women na Woman’ yamtatiza

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Huenda hii ikawa ni tabia endelevu kwa baadhi ya mastaa wa Bongo hasa wasanii wa filamu, muziki na watu maalufu kwa kung’ang’ania kuutukuza ‘Umagharibi’, hasa kwa kupenda kutumia lugha ya  Kiingereza ambacho mara zote kimekuwa kikiwatoa jacho..

Hivi sasa Nuh Mziwanda ambaye mwenye mahusiano ya uchumba na  mwimbaji Shilole ameibua mijadara huku wengi...

 

10 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE Gossip: “Dada wa Diamond Platnumz, Esma afunguka juu ya manyanyaso ya #teamWema mtandaoni

11068392_831372470232959_8951500805736951610_n

Esma mdogo wa Diamond Platnumz, aliyevunja ukimya, asubuhi ya leo juu ya kufuatwa fuatwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wa marafiki wa Wema Sepetu #teamWema, ambao wamekuwa wakitukana na kumtaka asimsaidie kaka yake juu ya shughuli zake za muziki.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Kuna misemo mingi juu ya mawifi wengi ‘wanagugu’ hasa wa ndugu wa mme, hilo ndilo lililomkuta dada wa mwanamuziki nyota nayefanya vizuri Bongo nan je ya Bongo, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ajulikanaye kwa jina la Esma...

 

11 years ago

Bongo5

Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9

Power couple ya Tanzania, Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio inayoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hii ni orodha kamili (July 31,2014) 1.Diamond Platnumz 183,205 2.Wema Sepetu 168,954 3.Elizabeth ‘Lulu’ Michael 129,047 4.Jokate Mwegelo 102,168 5.Millard Ayo 102,068 6.Jacqueline Wolper 99,545 7. Ommy Dimpoz 95,415 8.Aunty Ezekiel 94,379 9.Kajala 88,769 […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive gossip: Wabongo ‘wamtibulia’ mwanadada wa Zimbabwe kwa Amber Rose Instagram

11174943_835331553170384_3503190908409502878_n

Picha hii  ndio iliyozua ‘zengwe’ baada ya watanzania waishio Bongo na UK kutukanana matusi na Wazimbabwe waishio Uingereza (UK), ambapo hata hivyo, AmberRrose ameiondoa katika mtandao wake wa Instagram baada ya kuogopa uvunjikaji wa amani baina ya Tanzania na Zimbabwe.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Huenda ujapata kusikia hii ambayo ni mpya kabisa na hata kama umeisikia basi ni juu juu, ukweli ni kuwa, Watanzania mbalimbali ambao wanatumia Instagram (IG ) walio fans wa  video queen,...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram

1663203_863176703798731_1287169950_n

Diamond Platnumz si tu msanii aliyechukua tuzo kubwa zaidi kuliko wasanii wote wa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best Worldwide Act: Africa/India), bali pia ndiye msanii anayeishi barani Afrika mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram kwa sasa.

1663203_863176703798731_1287169950_n

Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.

Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.

Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.

1. Diamond...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive gossip: Diamond Platinumz ‘kuwalipia’ Bima ya Afya wakazi 200 wa Tandale

10409754_830601046976768_7274119858185255012_nPost aliyotupia Diamondplatnumz kwenye mtandao wake wa Instagram. alipotembelea ofisi za Edgepoint Company Ltd watoaji wa huduma ya bima ya afya

 

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Kitu kingine kwa mwanamuziki anayefaanya vizuri Bongo nan je ya Bongo, Nasib Abdul maalufu kama Diamond Platinumz,  ameweza kuibuka nacho ni suala la kuisaidia jamii ya wakazi wa Tandale, eneo alilozaliwa na kukulia katika maisha yake.

Katika kurasa wake wa Instagram, Diamond Platinumz ama pia akifahamika kama Chibu...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe aongoza kwa wafuasi wengi mtandaoni

>Matumizi ya mitandao ya kijamii yanaongezeka kila kukicha na kuleta upinzani kwa vyombo vya habari. Hii inatokana na ukweli kwamba kupitia mitandao hiyo habari husambaa kwa haraka katika muda mfupi.

 

10 years ago

Michuzi

SNEAK PREVIEW: EXCLUSIVE DIAMOND PLATNUMZ LIKE NEVER BEFORE

Dont Miss Diamond Platnumz One On One with Sporah this Tuesday 30th Sep.EUROPE: At 8:00pm(GMT) On VOXAFRICA TV SKY CHANNEL 218AFRICA: At 8:00pm(GMT) On DSTV CHANNEL 191REPEAT: Thursday at 8:00am(GMT)Friday at 05:15pm(GMT)Sunday at 6:00pm(GMT)
TANZANIA: ON CLOUDS TV Jumanne Saa Nne UsikuMARUDIO :Ijumaa Saa Nane Mchana NaJumapili Saa Sita Na Nusu Mchana.
DONT MISS OUT THIS TUESDAY 30th SEP 2014.    https://www.youtube.com/watch?v=4bd8e7EkNn4
THE SPORAH SHOW TEAM  Tel: 0044 (0) 2075360382Mob: 0044...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani