MASTAA WA KIUME WENYE MADEMU ‘VISU’ ZAIDI AFRIKA
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Peter-Okoye-Lola-Okoye.jpg)
Peter Okoye akiwa na mkewe. KILA mwanaume anatamani kuwa na mpenzi mzuri, lakini linapokuja suala la mapenzi kigezo cha uzuri wa mtu huweza kuwa na tafsiri pana kiasi kwamba wahenga hawakukosea waliposema kipendacho roho hula nyama mbichi huku Wazungu wakiwa na usemi wa: ‘Beauty is in the eyes of the beholder’ wakiwa na maana kwamba uzuri upo ndani ya macho ya mtu atazamaye. Lakini misemo yote hiyo bado haiwezi kutengua...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Dec
Diamond aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram
![1663203_863176703798731_1287169950_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1663203_863176703798731_1287169950_n-300x194.jpg)
Diamond Platnumz si tu msanii aliyechukua tuzo kubwa zaidi kuliko wasanii wote wa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best Worldwide Act: Africa/India), bali pia ndiye msanii anayeishi barani Afrika mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram kwa sasa.
Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.
Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.
Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.
1. Diamond...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxY86mIhSd1SkilbzSd1sHMUhbJLy3nt4AkE-9m2oiCzgzDfjO5mZUemaejGaS1vIRh-d9BPEXH*Ma5pOUp424Oj/CATHY.jpg?width=650)
ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
10 years ago
GPLMASTAA WADOGO ‘VISU’ WALIOTIKISA WAKONGWE!
10 years ago
GPLMASTAA WA KIUME WALIOBAKIZA MAJINA MJINI
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Shamsa Ford: Hawa Ndio Mastaa Wangu wa Tano wa Kiume Hapa Bongo
“Kwa upande wangu mimi kuna wanaume wa 5 ambao huwa nasemaga ni mastaa kupitiliza, yaani naamanisha akipita mtaani ni shida na kila mtu lazima ajue msanii kapita.. (1)Mzee majuto (2)Mboto (3)Kingwendu(4)Joti(5)Jacob……Hawa watu kwanza wanaongoza sana kupendwa na watoto yaani wakipita mtaani ni shida.aisee Mungu awabariki....na wewe nitajie wako 5 unaona wakipita mtaani kwako inakuwaga ni hekaheka”-Shamsa aliandika mtandaoni.
Hebu na sisi tuwataje wetu.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_fcGoRmruJU/Ve644t4a9LI/AAAAAAAH3R4/pk5NFu635YY/s72-c/Neema-Herbalistic-Clinic.jpg)
LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
![](http://3.bp.blogspot.com/-_fcGoRmruJU/Ve644t4a9LI/AAAAAAAH3R4/pk5NFu635YY/s640/Neema-Herbalistic-Clinic.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KfEqIWZTt63jfGYm7XyGmEGaugo*aqvYCMPZPf0VaIgUjNj8-KJm6ORsBEKniEjuFi7dMacnse3-t2aX7qbUjdAPdXc1ciyW/242copy.jpg?width=650)
MASTAA WENYE NYOTA ZA NGONO!
10 years ago
Mwananchi18 Apr
Mastaa 10 wenye mijengo ya maana Bongo