Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

Na Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza. Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AUNT LULU AKIRI MASTAA KUJIUZA MITANDAONI

Mwanadada mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ MWANADADA mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameibuka na kueleza kwamba mastaa wamegundua njia mpya ya kujiuza ambayo ni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Akistorisha na gazeti hili, Aunt Lulu alisema mastaa wengi wa kike wanajiuza kwenye mitandao ambapo mapedeshee waliopo mikoa mbalimbali wakishaziona picha zao...

 

11 years ago

GPL

CATHY ATANGAZA VITA NA MASTAA

Na Gladness Mallya MSANII mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka hatokaa karibu na mastaa wa kike, badala yake atakuwa na marafiki wa kiume. Akipiga stori na paparazi wetu, Cathy alisema ameamua kubadili mfumo wa maisha na amejiweka pembeni na haitaji urafiki na wasanii wa kike kwani kazi yao kubwa ni kupiga majungu. Msanii mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia...

 

10 years ago

GPL

MASTAA: WATOTO KWANZA, NDOA SIYO ISHU

Stori:  Gladness Mallya na Mayasa Mariwata/Risasi Mchanganyiko
WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wamefunguka kuwa wanahitaji zaidi kupata uzao kuliko kuishi maisha ya kuolewa. Staa wa filamu wa filamuBongo, Anti Lulu akipozi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, walisema suala la ndoa ni majaaliwa na si...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mastaa wa Kike: Watoto Kwanza, Ndoa Siyo Ishu

WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wamefunguka kuwa wanahitaji zaidi kupata uzao kuliko kuishi maisha ya kuolewa.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, walisema suala la ndoa ni majaaliwa na si jambo unaloweza kupanga, kwa vile mwenye uwezo wa kufanya hayo yote ni Mungu, kama ilivyo katika kuamua kuzaa au la.

Coletha Raymond ‘Koletha’, alisema katika maisha ya Kitanzania,...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WA KIUME WALIOBAKIZA MAJINA MJINI

Msanii wa Bongo movie, Issa Mussa “Cloud 112”. WAPO mastaa ambao huko nyuma walikuwa maarufu sana kutokana na kazi zao. Walianza kuvuma tangu enzi zile za Kaole Sanaa Group, Splendid, Nyota Ensemble na Kidedea wakatesa kwenye maigizo yaliyorushwa kwenye TV kisha wakahamia kwenye filamu lakini cha ajabu sasa hivi hawasikiki kivile, wamebaki majina tu.
Wasanii hao wako wengi lakini katika makala haya utapata kuwajua...

 

10 years ago

GPL

TOP TEN YA MASTAA KUVAA NUSU UTUPU SIYO ISHU KWAO!

MAKALA: AMRAN KAIMA/Ijumaa Ukifuatilia sana kwenye nchi za wenzetu kama vile Marekani na kwingineko, mastaa hawako makini na suala la uvaaji. Yaani si ajabu kuona staa mkubwa akikatiza mtaani akiwa amevaa nguo ya ndani na ukishangaa utaonekana mshamba. Jokate Mwegelo. Wanaovaa hivyo hawajakosa nguo za heshima za kuvaa bali ni ule ulimbukeni wa kutaka wawe gumzo na kuendelea kuwa maarufu.Kutokana na athari ya utandawazi, hapa...

 

9 years ago

GPL

MASTAA WA KIUME WENYE MADEMU ‘VISU’ ZAIDI AFRIKA

Peter Okoye akiwa na mkewe. KILA mwanaume anatamani kuwa na mpenzi mzuri, lakini linapokuja suala la mapenzi kigezo cha uzuri wa mtu huweza kuwa na tafsiri pana kiasi kwamba wahenga hawakukosea waliposema kipendacho roho hula nyama mbichi huku Wazungu wakiwa na usemi wa: ‘Beauty is in the eyes of the beholder’ wakiwa na maana kwamba uzuri upo ndani ya macho ya mtu atazamaye. Lakini misemo yote hiyo bado haiwezi kutengua...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford: Hawa Ndio Mastaa Wangu wa Tano wa Kiume Hapa Bongo

“Kwa upande wangu mimi kuna wanaume wa  5 ambao huwa nasemaga ni mastaa kupitiliza, yaani naamanisha akipita mtaani ni shida na kila mtu lazima ajue msanii kapita.. (1)Mzee majuto (2)Mboto (3)Kingwendu(4)Joti(5)Jacob……Hawa watu kwanza wanaongoza sana kupendwa na watoto yaani wakipita mtaani ni shida.aisee Mungu awabariki....na wewe nitajie wako 5 unaona wakipita mtaani kwako inakuwaga ni hekaheka”-Shamsa aliandika  mtandaoni.

Hebu na sisi tuwataje wetu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani