Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT LULU AKIRI MASTAA KUJIUZA MITANDAONI

Mwanadada mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ MWANADADA mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameibuka na kueleza kwamba mastaa wamegundua njia mpya ya kujiuza ambayo ni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Akistorisha na gazeti hili, Aunt Lulu alisema mastaa wengi wa kike wanajiuza kwenye mitandao ambapo mapedeshee waliopo mikoa mbalimbali wakishaziona picha zao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

Na Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza. Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au...

 

10 years ago

GPL

DAVINA AKIRI WASANII KUJIUZA!

Stori: mayasa mariwata
STAA wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kuwa ndani ya tasnia yao, kuna wasanii wengi wa kike wanajiuza kwa maslahi yao binafsi. Staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’. Akipiga stori na paparazi wetu, Davina alisema wasanii wanaofanya hivyo ni wale wasio na nia ya dhati, wapo kwenye tasnia kwa ajili ya kuuza sura na kujinadi kwa mapedeshee. “Tatizo ni...

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AKIRI MUMEWE KUKAMATWA DUBAI

Na Hamida Hassan
STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekiri mumewe kukamatwa na kupata misukosuko lakini si kufungwa kama baadhi ya watu wanavyoeneza uzushi. Aunt Ezekiel. Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, Aunt alisema mumewe, Sunday Demonte alikamatwa kutokana na viza yake kuisha ambapo alishikiliwa kwa muda na alipokamilisha taratibu za ‘kurinyuu’, aliachiwa. “Nashangaa sana mambo haya...

 

9 years ago

MillardAyo

Mastaa wa muziki walivyoongoza kuuza mitandaoni >> Alikiba, Christian Bella, Vee Money na Weusi..

Nafasi ya muziki kwa sasa imekua kubwa sana kiasi kwamba wasanii wetu wa Tanzania mbali na kutotoa album tena lakini wamekua na nafasi ya kuuza singo moja moja, mitandaoni na huko ndio zinakusanywa pesa nyingine pia na matunda ya muziki wao. Sasa tovuti inayouza ngoma za wasanii mitandaoni,  Mkito.com wametupa list kamili ya wasanii waliiongoza […]

The post Mastaa wa muziki walivyoongoza kuuza mitandaoni >> Alikiba, Christian Bella, Vee Money na Weusi.. appeared first on...

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA AUNT YAHUDHURIWA NA MASTAA KIBAO

Staa wa Filamu Bongo, Aunt Ezekiel akikata keki  ya bethidei yake ndani ya Ukumbi uliyopo kwenye   Mgahawa wa Rodizio Masaki jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo. Aunt Ezekiel akimlisha keki Wema Sepetu.…

 

11 years ago

Mwananchi

Lulu akiri mahakamani kuwa mpenzi wa Kanumba

Mwigizaji maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael Kimemeta, amekiri mahakamani kuwa na uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mwigizaji mwenzake, Steven Kanumba na pia kuwa ugomvi na Kanumba siku ya tukio la kifo cha mwigizaji huyo, lakini akakana mashtaka ya kumuua bila kukusudia.

 

10 years ago

GPL

AUNT LULU HOI KITANDANI

Na Hamida Hassan
Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ yupo hoi kitandani baada ya kusumbuliwa na jino la juu ambalo anahofia kulitoa. Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Akizungumza na Amani, Aunt Lulu alisema kuwa anajiona amekonda kwa maumivu ya jino tu na kutokana na vitisho anavyovipata kutoka kwa marafiki zake anaogopa kwenda kuling’oa. “Yaani...

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Lulu Awashangaa Wanawake Wanaomkosoa

Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amewashangaa wanawake  wote  ambao  wamekuwa wakimtukana kila anapoweka picha zenye mikao ya kihasara kwenye mtandao ya kijamii na kusema endapo wataendelea atawachukulia mabwana zao.

Akizungumza na Tanuru la Filamu, Aunt Lulu alisema kwamba wanawake ndiyo wanaongoza kumtukana kila akiweka  picha za kuonyesha  jinsi  Mungu alivyolia kumuumba  na kumpa  mapaja yenye ushawishi  kwa kila anayeyaangalia awe wa kike ama...

 

9 years ago

Global Publishers

Aunt Lulu, huko ni kujirahisi kulikopitiliza!

1LULU Mathias Semagongo ndilo jina lake halisi, lakini watu wa burudani wanamfahamu zaidi kama Aunt Lulu. Ni binti mmoja mdogo aliyezaliwa mwaka 1987.
Historia yake inaonesha ni binti aliyekuwa na kipaji, kwani katika umri mdogo, tayari alikuwa mtangazaji wa kipindi cha watoto kilichokuwa kikiendeshwa na redio ya kwanza binafsi nchini, Radio One, kilichoitwa Watoto Show.

Binafsi nilimfahamu kuanzia mwaka 2006, alipokuwa mmoja kati ya washiriki wa shindano lililosisimua enzi hizo, la kusaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani