AUNT EZEKIEL AKIRI MUMEWE KUKAMATWA DUBAI
![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R3SmqNAo5G4PPrmCsTIWvVABrI8O7cY1EtImxlmTxgz2Hw3FOWFDb9zIEEaqT4-nnnSeO-eTSR4n06LW43jKcLw/aunt.jpg?width=650)
Na Hamida Hassan STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekiri mumewe kukamatwa na kupata misukosuko lakini si kufungwa kama baadhi ya watu wanavyoeneza uzushi. Aunt Ezekiel. Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, Aunt alisema mumewe, Sunday Demonte alikamatwa kutokana na viza yake kuisha ambapo alishikiliwa kwa muda na alipokamilisha taratibu za ‘kurinyuu’, aliachiwa. “Nashangaa sana mambo haya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpH5pvVwrnlLHCQmnIubYep84L*NL-jGcX1HqVI5-*aEqQ7Fi-Kx0wk4Wp4wfx-LxNDryQRk0c9pHzL30UvMW2Fc/aunt2.jpg)
AUNT EZEKIEL AKIJIACHIA BEACH NDANI YA DUBAI
10 years ago
Habarileo22 Oct
Mke akiri kumsaliti mumewe miaka 7
SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao ya kijamii inayowakabili wakazi wawili wa Mbagala, Dar es Salaam, alidai kwamba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mlalamikaji kwa miaka saba huku akiwa na mume wake ambaye ni mshitakiwa namba moja katika kesi hiyo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/at5DaH0Gs6lkRC5GxKMOZgeXRhFur5k5TndpvsA61*dNlvU7uBIEPKIiCgkfa4sdift5XGh037fRWK2*wdOkzt0hBp8GZ0SE/ezekieli2.gif?width=650)
USALITI WAMPAISHA AUNT DUBAI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tRTgBwuFfyuAuJnc6PwuTbY7fCtyoJ2sPPJdvIouhEa9aBRQKyBs6ObNGMiA1SL9pWUQrPAKH5veLvQ40RmSUPJ/BACK.jpg)
MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Mimba yamchosha Aunt Ezekiel
NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp20pxF9*ej2hiejHdFwOylB457L8FJ7e4pwDjI8BMHOvKkoHWQ4485VgeIY-71XgMG2KoI*FV6rWSfea3Qh4AXEo/MAMAWEMA.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL NA UKWELI MCHUNGU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpsrxiNjsAjSTztpWzV59Da2DQj28DwR3uaukljFNbz5nEVivhh1jFKbloUUX1JhLPOibevcxBm4myg86eru4KEXW/pub.jpg?width=650)
PUB YA AUNT EZEKIEL CHALI
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N6tOykHJpwm8Eg4g55zbaUAyd6dCLAL8i8zxGhVYch8MbDYNox9sR59w-5GKtoP7u1Xg9e99aGKBZBnGdB4*fAf/aunt.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!