AUNT EZEKIEL NA UKWELI MCHUNGU!
![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp20pxF9*ej2hiejHdFwOylB457L8FJ7e4pwDjI8BMHOvKkoHWQ4485VgeIY-71XgMG2KoI*FV6rWSfea3Qh4AXEo/MAMAWEMA.jpg?width=650)
NIMEWAHI kuwa mdau wa karibu wa filamu za nyumbani, hasa kipindi kile cha mwanzo mwanzo kabisa baada ya vijana kujiingiza katika uigizaji kufuatia kuzinduliwa kwa filamu namba moja ya kizazi kipya, Girlfriend.Licha ya kupata marafiki katika tasnia hiyo, lakini pia nilivutiwa mno na uwezo wa baadhi ya waigizaji kwa jinsi wanavyoweza kuuvaa uhusika, kiasi ambacho unaamini kabisa kama filamu zetu zingekuwa katika ubora unaotakiwa,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tahariri: Mimba ya Aunt Ezekiel bado bado sana, blogs zitafute ukweli kwanza na sio kukurupuka
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Huenda nawe umezisikia taarifa zilizozagaa kwenye mitandao yaa kijaamii na kwingineko juu ya kuwa star mwenye mvuto wa asili anayetikisa Bongo kwa filamu mbalimbali, Msanii wa kike, Aunt Ezekiel ambaye kwa sasa ni mjamzito, amejifungua?.
Kwa taarifa za uhakika kutoka katikaa moja ya mtandao wa kijamii wa Global Publisher inayokubalika hapa nchini (http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/aunt-ezekiel-akanusha-taarifa-za-kujifungua-asema-video-ya) ...
10 years ago
VijimamboNay wa Mitego Ampa 'Ukweli Mchungu' Diamond
Baada ya hapo jana msanii Diamond kumpondea kiana Nay wa Mitego kuhusu kile kilicho sababisha Nay na mpenzi wake Siwema watemane kuwa ni kwasababu Nay hajui kupetipeti, Nay wa Mitego nae ameibuka na dongo hili, mara baadaya kubandika pichi hiyo hapo juu."Jamani eeh?!! Embu tuongee ukweli, ivi uyu ndugu yetu @diamondplatnumz Angekua na hali iyo apo kwny picha, Je!? Ange weza kua na huyo Mwanamke apo @zarithebosslady na unadhani uyu #Zari angemkubali? Kama c vijisenti na huu umaarufu alio...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bf3qBTWMVA8oBLapGX5Mrpcrw56yv7cK5h-EFgsXC-GVr2t32y4S3LIGceQJTwNPQ4hAE9nWTklAoT02UczHk*mI2s9nFX*M/PaulMakondaUVCCMTaifa.jpg?width=650)
UKWELI MCHUNGU: WAPINZANI HAWANA SIFA ZA KUONGOZA NCHI (A COMPARATIVE ANALYSIS) - PAUL MAKONDA
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Watu Wamvaa Aunt Ezekiel
Kutokana na uzushi ulioenea kuwa staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya.
Jumatano usiku katika mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu aliyepata ujauzito mumewe akiwa jela, alitupia picha ikimuonyesha akiwa na kitoto kichanga, ambacho watu wengi...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOIde3FMdLUQO*puXeAxc2ZPMYbDmqDD7KoJnVOvZ9qERTcPMrHW0DaHba*39u*Ho7Dt8RSY9ijeMxgBHVhASWpQ/AUNT.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL AZICHAPA UKUMBINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tRTgBwuFfyuAuJnc6PwuTbY7fCtyoJ2sPPJdvIouhEa9aBRQKyBs6ObNGMiA1SL9pWUQrPAKH5veLvQ40RmSUPJ/BACK.jpg)
MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Mimba yamchosha Aunt Ezekiel
NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N6tOykHJpwm8Eg4g55zbaUAyd6dCLAL8i8zxGhVYch8MbDYNox9sR59w-5GKtoP7u1Xg9e99aGKBZBnGdB4*fAf/aunt.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!