Nay wa Mitego Ampa 'Ukweli Mchungu' Diamond
Baada ya hapo jana msanii Diamond kumpondea kiana Nay wa Mitego kuhusu kile kilicho sababisha Nay na mpenzi wake Siwema watemane kuwa ni kwasababu Nay hajui kupetipeti, Nay wa Mitego nae ameibuka na dongo hili, mara baadaya kubandika pichi hiyo hapo juu."Jamani eeh?!! Embu tuongee ukweli, ivi uyu ndugu yetu @diamondplatnumz Angekua na hali iyo apo kwny picha, Je!? Ange weza kua na huyo Mwanamke apo @zarithebosslady na unadhani uyu #Zari angemkubali? Kama c vijisenti na huu umaarufu alio...
Vijimambo