Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!

Stori: Imelda Mtema
LICHA ya kubadili dini na kuwa muislam kisha kupewa jina la Rahma, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema sasa anatamani kurejea ‘ulokoleni’ na kumrudia Yesu kwa kuokoka. Aunt Ezekiel. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar, msanii huyo ambaye alibadili dini kutoka ukristo na kuwa muislam baada ya kuolewa na mumewe, Sunday Demonte alisema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mimba yamchosha Aunt Ezekiel

auntez ekiel4NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi

STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko...

 

10 years ago

GPL

MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL

Stori:Imelda Mtema na Musa Mateja
MAMBO si mambo! Tayari mimba ya muigizaji Aunt Ezekiel imeanza kumtibua baada ya nyota huyo kushindwa kufanya baadhi ya kazi ambazo alikuwa akizifanya mwenyewe. Mose Iyobo akimsaidia kuvaa kiatu muigizaji maarufu Bongo, Aunt Ezekiel. Kwa mujibu wa chanzo chetu, kutokana na tumbo kuwa kubwa, Aunt kwa sasa hawezi kufunga viatu vyake, kufua, kuosha vyombo na hata akitaka kwenda toileti inabidi...

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL NA UKWELI MCHUNGU!

NIMEWAHI kuwa mdau wa karibu wa filamu za nyumbani, hasa kipindi kile cha mwanzo mwanzo kabisa baada ya vijana kujiingiza katika uigizaji kufuatia kuzinduliwa kwa filamu namba moja ya kizazi kipya, Girlfriend.Licha ya kupata marafiki katika tasnia hiyo, lakini pia nilivutiwa mno na uwezo wa baadhi ya waigizaji kwa jinsi wanavyoweza kuuvaa uhusika, kiasi ambacho unaamini kabisa kama filamu zetu zingekuwa katika ubora unaotakiwa,...

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AZICHAPA UKUMBINI

Na Shakoor Jongo
STAA wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel amejikuta akizichapa na mwanamke aitwaye Sarah Mwakapala ambaye miaka mitano iliyopita waliwahi kugombea penzi la mwanaume anayejulikana kwa jina la Mwilu Mwilola ‘Silva’. Tukio la ugomvi huo lilichukuwa nafasi juzi katika Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo Victoria jijini Dar ambapo kulikuwa na sherehe ya kuzaliwa ya rafiki yao aliyetambulika kwa jina la Jamila....

 

10 years ago

Bongo Movies

Watu Wamvaa Aunt Ezekiel

Kutokana na uzushi  ulioenea  kuwa staa wa  Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya.

Jumatano usiku katika mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu aliyepata ujauzito mumewe akiwa jela, alitupia picha ikimuonyesha akiwa na kitoto kichanga, ambacho watu wengi...

 

11 years ago

GPL

PUB YA AUNT EZEKIEL CHALI

Stori: Shakoor Jongo
PUB iliyoibuka kwa muda mchache na kukamata ‘taito’ kubwa Bongo ya mwigizaji Aunt Ezekiel, Demonte imefungwa ghafla, haitoi huduma tena. Aunt Ezekiel. Imedaiwa kuwa, pub hiyo iliyopo maeneo ya Mwananyamala, jijini Dar, imefungwa kutokana na mhusika kushindwa kuiendesha. “Imefungwa, nasikia gharama za vinywaji na wafanyakazi aliowaajiri zilikuwa juu akaona bora afunge,” alisema...

 

10 years ago

GPL

SHEHE: AUNT EZEKIEL HANA NDOA

Stori: Gladness Mallya na Chande Abdallah
SHEIKH Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa ameweka wazi kuwa msanii nyota wa filamu, Aunt Ezekiel ambaye aliolewa na Sunday Demonte hana ndoa kutokana na kukaa mbali na mumewe kwa zaidi ya miezi sita. Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa akizungumza jambo. “Hakuna ndoa kati ya mtu yeyote ambaye amezidi miezi 6 bila kukutana na mumewe kwa mujibu wa dini ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani