Watu Wamvaa Aunt Ezekiel
Kutokana na uzushi ulioenea kuwa staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya.
Jumatano usiku katika mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu aliyepata ujauzito mumewe akiwa jela, alitupia picha ikimuonyesha akiwa na kitoto kichanga, ambacho watu wengi...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWATU WAMVAA AUNT
10 years ago
Bongo Movies07 May
Aunt Ezekiel Awapa Makavu Watu Hawa Mtandaoni
Hivi naomba kuuliza kuna mtu nilimuomba humu kwenye page yangu anifollow???au nilishatangazwa kuomba followers mimi!!!Sasa ni mm ni mswahili mjue alafu habari za kukaa kutishiana maisha sipendi mana naona kila mtu mfundaji humu ndani kila mtu nyakanga vyote mnajua nyinyi!!
Mungu haombwi insta wala asalitiwi insta kila mtu na dini na kanuni zake kulingana na bando lake mimi nikiingia labour leo lolote lile litakalokuwa ndio matokeo na ndio mwenyezi Mungu alichopanga, hata nikajifiche wapi...
10 years ago
Bongo Movies01 May
Aunt Ezekiel: Naomba Mungu Nijifungue Salama, Sababu Watu….
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ambaye hivi sasa ni mjamzito ameeleza kuwa kila saa na kila siku anamuomba Mungu amjaalie ajifungue salama maana maneno ya watu yamekuwa yakimtisha.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa hivi karibuni nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar, Aunt alisema kuna watu ambao wamekuwa wakimuombea mabaya kutokana na chuki zao lakini yeye anaamini Mungu ndiye kila kitu kwake.
“Wapo watu ambao wanaisengenya mimba yangu, wananisema vibaya, wananiombea mabaya kiasi cha...
10 years ago
GPLMIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL
11 years ago
GPLAUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!
11 years ago
GPLAUNT EZEKIEL NA UKWELI MCHUNGU!
11 years ago
GPLPUB YA AUNT EZEKIEL CHALI
11 years ago
GPLAUNT EZEKIEL AZICHAPA UKUMBINI
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Mimba yamchosha Aunt Ezekiel
NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...