Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tahariri: Mimba ya Aunt Ezekiel bado bado sana, blogs zitafute ukweli kwanza na sio kukurupuka

AUNT1

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Huenda nawe umezisikia taarifa zilizozagaa kwenye mitandao yaa kijaamii na kwingineko juu ya kuwa star mwenye mvuto wa asili anayetikisa Bongo kwa filamu mbalimbali, Msanii  wa kike, Aunt Ezekiel ambaye kwa sasa ni mjamzito, amejifungua?.

Kwa  taarifa za uhakika kutoka katikaa moja ya mtandao wa kijamii wa Global Publisher inayokubalika hapa nchini (http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/aunt-ezekiel-akanusha-taarifa-za-kujifungua-asema-video-ya) ...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

uzi wa wenzetu, sie bado bado kwanza...

 Uganda  Kenya Burundi Rwanda

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL NA UKWELI MCHUNGU!

NIMEWAHI kuwa mdau wa karibu wa filamu za nyumbani, hasa kipindi kile cha mwanzo mwanzo kabisa baada ya vijana kujiingiza katika uigizaji kufuatia kuzinduliwa kwa filamu namba moja ya kizazi kipya, Girlfriend.Licha ya kupata marafiki katika tasnia hiyo, lakini pia nilivutiwa mno na uwezo wa baadhi ya waigizaji kwa jinsi wanavyoweza kuuvaa uhusika, kiasi ambacho unaamini kabisa kama filamu zetu zingekuwa katika ubora unaotakiwa,...

 

10 years ago

GPL

MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL

Stori:Imelda Mtema na Musa Mateja
MAMBO si mambo! Tayari mimba ya muigizaji Aunt Ezekiel imeanza kumtibua baada ya nyota huyo kushindwa kufanya baadhi ya kazi ambazo alikuwa akizifanya mwenyewe. Mose Iyobo akimsaidia kuvaa kiatu muigizaji maarufu Bongo, Aunt Ezekiel. Kwa mujibu wa chanzo chetu, kutokana na tumbo kuwa kubwa, Aunt kwa sasa hawezi kufunga viatu vyake, kufua, kuosha vyombo na hata akitaka kwenda toileti inabidi...

 

10 years ago

Mtanzania

Mimba yamchosha Aunt Ezekiel

auntez ekiel4NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI NYALANDU AFUNGUKIA MIMBA YA AUNT EZEKIEL

Mwandishi Wetu Hatimaye Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye ni Mbunge wa Singida Kaskazini kwa leseni ya CCM, Lazaro Samwel Nyalandu na mkewe Faraja Kotta wamejibu tetesi kuwa mheshimiwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson. Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye ni Mbunge wa Singida Kaskazini kwa leseni ya CCM, Lazaro Samwel Nyalandu akiwa na mkewe Faraja Kotta. Awali tetesi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel Alia Mimba Kumkosesha 'Madili'

Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.

Akizungumza na gazeti la Mtanzania jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.

“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue, kwani sipati tena...

 

10 years ago

Bongo Movies

AUNT EZEKIEL: Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!!

Japokuwa hadi sasa Muigizaji  Aunt Ezekiel Grayson anakanusha kuwa hana ujauzito, stori zake za kuwa na ujauzito zimezidi kuenea kwa kasi zaidi kwenye mitando ya kijamii na blogs mbalimbali za hapa BONGO.

Hii nikutokana na kuonekaana kwenye Klabu ya New Maisha iliyopo Masaki jijini Dar, Jumapili iliyopita akiwa ameshiba yaani kitumbo ndi huku akishindwa kukificha baada ya kila kitu kuonekana waziwazi kwa macho yasiyohitaki miwani.

KIGAUNI CHAANIKA KILA...

 

10 years ago

GPL

MADAI YA MIMBA NJE YA NDOA, AUNT EZEKIEL AITWA BAKWATA

Na Nyemo Chilongani
MADAI! Huku zikiwa zimepita siku chache tangu igundulike kwamba muigizaji, Aunt Ezekiel kuwa na mimba ambayo inasadikiwa kuwa si ya mume wake (Sunday Demonte), ndugu wa mume huyo wameibuka na kutaka kumfikisha Bakwata (Baraza Kuu la Waislamu Tanzania). Muigizaji wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel (kulia) akiwa na shosti yake Wema Sepetu. Ndugu hao ambao walizungumza na gazeti hili walidai kwamba wamesikitishwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAHARIRI: TCRA IZIMULIKE BLOGS ‘UCHWARA’ NA KUZICHUKULIA HATUA KALI

Ni zile zinazoandika habari za uongo, matusi11039142_10200327749914253_7953568182828634952_n"Screen shot" ikionyesha moja ya habari zilizorushwa kwenye moja ya blog uchwara kuhusiana na taarifa za uzushi wa kifo cha mchungaji Gwajima.1Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma.

Na Andrew Chale wa Modewji blogMiongoni mwa mambo ambayo Tanzania tunapitia kwa sasa ni pamoja na teknolojia mbalimbali ikiwemo mawasiliano ya simu, intaneti vyombo vya habari na mengine mengi, Lakini mawasiliano hayo kwa sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani