Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


uzi wa wenzetu, sie bado bado kwanza...

 Uganda  Kenya Burundi Rwanda

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tahariri: Mimba ya Aunt Ezekiel bado bado sana, blogs zitafute ukweli kwanza na sio kukurupuka

AUNT1

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Huenda nawe umezisikia taarifa zilizozagaa kwenye mitandao yaa kijaamii na kwingineko juu ya kuwa star mwenye mvuto wa asili anayetikisa Bongo kwa filamu mbalimbali, Msanii  wa kike, Aunt Ezekiel ambaye kwa sasa ni mjamzito, amejifungua?.

Kwa  taarifa za uhakika kutoka katikaa moja ya mtandao wa kijamii wa Global Publisher inayokubalika hapa nchini (http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/aunt-ezekiel-akanusha-taarifa-za-kujifungua-asema-video-ya) ...

 

11 years ago

Michuzi

MGOGORO WA ZIWA NYASA: WAKATI WENZETU MALAWI WAKIPAMBANA KWA TEKNOHAMA SISI WATANZANIA BADO TUNAPAMBANA KWA MANENO.

Kaka michuzi naomba unichapishie makala yangu kwenye blog yako. Kama tunavyofahamu kwa wakati huu Tanzania ipo katika mgogoro wa ziwa nyasa kati yetu na Malawi wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kutumia mtandao wa Google Map.
Google Map ni mtandao mkubwa ambo unaonyesha Ramani ya dunia nzima kwa kutumia picha ya satellite na watu wengi hususani watalii hutumia mtandao huu kabla ya kwenda mahali husika . Lakini mtandao huu huitaji watu kujaza taarifa zaidi kama kuonyesha mipaka ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Maximo kamili, Phiri bado bado

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amejigamba kuwa kikosi chake kipo tayari kila idara kwa Ligi Kuu Bara, lakini mwenzake Patrick Phiri wa Simba ana kazi ya kuimarisha ubora katika safu yake ya ulinzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kapombe: Bado nipo nipo kwanza

ALIYEKUWA beki wa timu ya Simba, Shomari Kapombe, amesema mipango yake ya kujiunga na Azam imekwama, akisubiri amalizane kwanza na AS Cannes ya Ufaransa. Kapombe ameamua kurejea nchini na kujiunga...

 

9 years ago

Habarileo

Simba bado Zanzibar

SIMBA jana ilishindwa kuonesha makali yake baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa.

 

10 years ago

GPL

ESCROW BADO MOTO

Na Mwandishi Wetu
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiwa amemuwajibisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka kufuatia kumegewa mgawo wa fedha za Tegeta Escrow, binti anayedaiwa kuwa mwanaye, amejikuta akipata wakati mgumu baada ya kumtetea mama yake kupitia mitandao ya kijamii. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka. Katika Mtandao wa Twitter, binti huyo aliyejitambulisha kwa jina...

 

10 years ago

Habarileo

‘Ajira bado ni changamoto’

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amekiri kuwepo kwa changamoto ya ajira nchini kutokana na taasisi nyingi kukosa uwezo wa kuajiri hapa nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Escrow bado kizungumkuti

Hali bado ni tete kwa mawaziri wakati Rais Jakaya Kikwete akiwasiliana na viongozi waandamizi kabla ya kutangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri baada ya kuwa na vikao kadhaa jana na vigogo katika kile kinachoonekana kupata ushauri.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yemen bado si shwari

Muda mfupi baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano kuanza kutekelezwa usiku wa kuamkia leo, kumezuka mapigano kusini mwa Yemen.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani