ESCROW BADO MOTO
![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe4o6xQFhQnOQn-opSO0yIgIVG5aP7rBQRifWS8lUeDOmk1QvgYzoLGL5RCubcrUuFHFcxLaiq25y7KC8CWc6kfs/BACK100.jpg?width=650)
Na Mwandishi Wetu WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiwa amemuwajibisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka kufuatia kumegewa mgawo wa fedha za Tegeta Escrow, binti anayedaiwa kuwa mwanaye, amejikuta akipata wakati mgumu baada ya kumtetea mama yake kupitia mitandao ya kijamii. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka. Katika Mtandao wa Twitter, binti huyo aliyejitambulisha kwa jina...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Escrow bado kizungumkuti
10 years ago
Mtanzania07 Mar
Escrow ngoma bado mbichi
Na Elias Msuya
SERIKALI ya Marekani imeendelea kuichunguza Tanzania kama inakidhi vigezo vya kupewa msaada wa Shirika la Msaada wa Maendeleo la Marekani (Millennium Challenge Corporation- MCC) unaofikia Dola za Marekani milioni 700, sawa na Sh trilioni 1.3.
Tathmini hiyo imeendelea kufanyika wakati nchi ya Ghana ikiwa tayari imeshapata msaada wake, huku Tanzania ikikabiliwa na harufu ya ufisadi unaokwamisha kupitishwa kwa msaada huo.
Taarifa hizi mpya zimepatikana baada ya kikao...
10 years ago
Habarileo05 Nov
Akaunti ya Escrow bado kitendawili bungeni
JARIBIO la wabunge la kuishinikiza Serikali kuwasilisha bungeni ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu madai ya kuchotwa kwa zaidi ya Sh bilioni 200 kutoka katika akaunti ya Escrow, limekwama.
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Mabilioni ya Escrow moto
JITIHADA za mawaziri, watendaji wa serikali na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutaka kuzima kashfa ya ukwapuaji wa sh bilioni 200, unaodaiwa kufanywa katika akaunti ya Escrow iliyofunguliwa Benki...
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Escrow kaa la moto
NA THEODOS MGOMBA, DODOMA KASHFA ya madai ya kuchotwa mabilioni ya shilingi kwenye akaunti ya ESCROW, imezidi kuwa moto kutokana na kuibua mjadala mkali bungeni kila kukicha. Tayari serikali iliagiza kufanyika kwa uchunguzi wa kina ili kubaini iwapo malipo hayo kwa Kampuni ya PAP, iliyonunua IPTL, yalifanyika kihalali, ambapo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imepewa jukumu hilo. Hata hivyo, habari za kuaminika...
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Ripoti ya escrow yawasha moto
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Majimbo Ukawa hadharani, 12 bado moto
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Kura ya siri, wazi bado moto
MBUNGE wa Kisarawe, Selemani Jafo (CCM), amependekeza watoto watumike kuamua aina gani ya kura itumiwe na Bunge Maalumu la Katiba katika kufanya uamuzi. Hatua hiyo ni kutokana na utata ambao...
10 years ago
Vijimambo17 Apr
Moto Escrow wambabua Ngeleja jimboni.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ngeleja-17April2015.jpg)
Ngeleja ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba,...