Kura ya siri, wazi bado moto
MBUNGE wa Kisarawe, Selemani Jafo (CCM), amependekeza watoto watumike kuamua aina gani ya kura itumiwe na Bunge Maalumu la Katiba katika kufanya uamuzi. Hatua hiyo ni kutokana na utata ambao...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Kura ya siri, wazi kaa la moto Bunge la Katiba
11 years ago
Habarileo11 Mar
Kura ya siri, wazi kiporo
BADO MUAFAKA! Ndivyo ilivyojidhihirisha jana kwenye Bunge Maalum la Katiba, ambalo limeshindwa kufikia makubaliano ya kura gani, itumike wakati wa kupitisha uamuzi wa ibara za rasimu ya Katiba mpya.
11 years ago
Habarileo11 Mar
Kura za siri,wazi kiporo
BADO MUAFAKA! Ndivyo ilivyojidhihirisha jana kwenye Bunge Maalum la Katiba, ambalo limeshindwa kufikia makubaliano ya kura gani, itumike wakati wa kupitisha uamuzi wa ibara za rasimu ya Katiba mpya. Kura inayobishaniwa na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ni kama iwe ya siri au wazi, jambo lililogawa Bunge hilo katika makundi mawili, yanayotofautiana kuhusu namna gani uamuzi ufanyike ndani ya Bunge hilo.
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Kura ya wazi, siri ruksa
UONGOZI wa Bunge Maalumu la Katiba umekubali kuondoa mapendekezo mapya ya marekebisho katika baadhi ya kanuni na badala yake umependekeza kutumika kwa kura za aina zote mbili za wazi au...
11 years ago
Habarileo29 Mar
Kura ya siri, wazi kutumika pamoja
HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba limemaliza mvutano wa Kanuni, hasa kuhusu kura ya wazi au ya siri katika kufanya uamuzi wa kupitisha ibara na sura za rasimu ya Katiba, kwa kuamua kura zote zitumike kwa kadri mjumbe mmoja mmoja atakavyoona inafaa. Uamuzi huo uliamuliwa kwa kupiga kura ya wazi na siri na matokeo yalikuwa:
11 years ago
Habarileo25 Mar
Sakata la kura ya siri, wazi lapatiwa dawa
BAADA ya mvutano kuhusu aina ya kura itakayotumika kupitisha vifungu vya rasimu ya Katiba, hatimaye Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ametangaza kutumika kwa njia ya maridhiano kumaliza utata.
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Mjadala kura ya siri moto
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
‘Posho tulidai wazi, kura iwe wazi’
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ahmed Masoud Jongo amewataka wajumbe wasiogope kupiga kura za wazi kama walivyokuwa wakidai nyongeza ya posho hadharani. Alitoa kauli hiyo juzi jioni alipokuwa akichangia...
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Siri za wazi ni utupu?