Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sakata la kura ya siri, wazi lapatiwa dawa

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel SittaBAADA ya mvutano kuhusu aina ya kura itakayotumika kupitisha vifungu vya rasimu ya Katiba, hatimaye Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ametangaza kutumika kwa njia ya maridhiano kumaliza utata.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kura ya siri, wazi kiporo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto) kabla ya kuanza kwa semina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).BADO MUAFAKA! Ndivyo ilivyojidhihirisha jana kwenye Bunge Maalum la Katiba, ambalo limeshindwa kufikia makubaliano ya kura gani, itumike wakati wa kupitisha uamuzi wa ibara za rasimu ya Katiba mpya.

 

11 years ago

Habarileo

Kura za siri,wazi kiporo

BADO MUAFAKA! Ndivyo ilivyojidhihirisha jana kwenye Bunge Maalum la Katiba, ambalo limeshindwa kufikia makubaliano ya kura gani, itumike wakati wa kupitisha uamuzi wa ibara za rasimu ya Katiba mpya. Kura inayobishaniwa na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ni kama iwe ya siri au wazi, jambo lililogawa Bunge hilo katika makundi mawili, yanayotofautiana kuhusu namna gani uamuzi ufanyike ndani ya Bunge hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kura ya wazi, siri ruksa

UONGOZI wa Bunge Maalumu la Katiba umekubali kuondoa mapendekezo mapya ya marekebisho katika baadhi ya kanuni na badala yake umependekeza kutumika kwa kura za aina zote mbili za wazi au...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kura ya siri, wazi bado moto

MBUNGE wa Kisarawe, Selemani Jafo (CCM), amependekeza watoto watumike kuamua aina gani ya kura itumiwe na Bunge Maalumu la Katiba katika kufanya uamuzi. Hatua hiyo ni kutokana na utata ambao...

 

11 years ago

Habarileo

Kura ya siri, wazi kutumika pamoja

HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba limemaliza mvutano wa Kanuni, hasa kuhusu kura ya wazi au ya siri katika kufanya uamuzi wa kupitisha ibara na sura za rasimu ya Katiba, kwa kuamua kura zote zitumike kwa kadri mjumbe mmoja mmoja atakavyoona inafaa. Uamuzi huo uliamuliwa kwa kupiga kura ya wazi na siri na matokeo yalikuwa:

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri, wazi kaa la moto Bunge la Katiba

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa upigaji kura, kati ya kura ya wazi na kura ya siri.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Posho tulidai wazi, kura iwe wazi’

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ahmed Masoud Jongo amewataka wajumbe wasiogope kupiga kura za wazi kama walivyokuwa wakidai nyongeza ya posho hadharani.  Alitoa kauli hiyo juzi jioni alipokuwa akichangia...

 

11 years ago

Mwananchi

Siri za wazi ni utupu?

Sijui kwa nini napata picha kwamba watu wanakosa imani katika nchi yetu ya amani. Ni kama kule baharini.

 

10 years ago

Michuzi

DAWA ZA KUZUIA KUYUMBA KWA NDOA ZAWEKWA WAZI.

 Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la kukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan wakibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere kabla ya Kuingia Ndani ya Ukumbi  huo ili kujadili Kauli Mbiu ya Ndoa Chanzo Cha Utu wetu Jana 14.06.2015.  Baadhi ya wataalamu wa Kiislam wakimsilizi kwa Makini Dr Ahmad Totonji Kutoka Suadi Arabia alipokuwa akiwakilisha Mada ya Taasisi ya Ndoa, Jana, leo na Kesho Katika Kongamano la Kukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Dr....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani