Majimbo Ukawa hadharani, 12 bado moto
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimetangaza mgawanyo wa majimbo 253 kati ya 265 ya ubunge huku 12 yaliyokuwa kwenye mvutano yakibaki kiporo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 May
Majimbo mapya hadharani Juni 31
MAJIMBO mapya ya uchaguzi yanatarajiwa kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mwishoni mwa Juni, ili kuwezesha majimbo hayo kupata wabunge watakaowakilisha wananchi hao.
9 years ago
Mwananchi18 Aug
CCM yamaliza majimbo tisa, bado mawili
10 years ago
Mtanzania12 May
Moto majimbo mpya
Veronica Romwald na Shabani Matutu, Dar es Salaam
MVUTANO mpya unarajiwa kuibuka katika ugawaji wa majimbo mapya kati ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza ugawaji wa majimbo ya uchaguzi huku mapya yakitarajiwa kuongezeka.
Mchakato huo wa kugawa majimbo ya uchaguzi unatarajiwa kuanza leo kwa kutoa tangazo katika Gazeti la Serikali kwa mujibu wa Sheria ya...
10 years ago
Mwananchi10 Jul
Mgombea urais Ukawa hadharani kesho
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Majimbo yawavuruga Ukawa
NA JONAS MUSHI NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
HALI si shwari ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) baada ya Chama cha NCCR-Mageuzi kuibuka na madai kuwa kuna vyama washirika vinavuruga umoja huo, na kwamba chama chao kinaweza kufa baada ya uchaguzi mkuu.
Ukawa ni umoja unaoundwa na vyama vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD ambavyo vimekubaliana kuungana katika uchaguzi mkuu na kusimamisha mgombea mmoja kwenye urais, ubunge na udiwani.
Wakizungumza katika mkutano na waandishi wa...
9 years ago
Mwananchi28 Oct
CCM, Ukawa waporana majimbo
9 years ago
Mwananchi21 Aug
Majimbo matano yavuruga Ukawa
9 years ago
Mtanzania01 Sep
Majimbo matatu yawavuruga Ukawa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MAJIMBO matatu yameonekana kuvivuruga vyama vinavyonda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutokana na vyama hivyo kushindwa kusimamisha mgombea mmoja kama yalivyo makubaliano yao.
Kutokana na hali hiyo, vyama hivyo vimejikuta vikisimamisha wagombea wawili katika jimbo moja na hivyo kuzua utata katika majimbo hayo.
Majimbo yaliyoleta mvutano katika umoja huo ni Jimbo la Serengeti mkoani Mara, Mtwara Mjini mkoani Mtwara na Jimbo la Mwanga mkoani...
9 years ago
Mwananchi02 Nov
Ukawa ilivyoipa CCM majimbo