Majimbo matano yavuruga Ukawa
Siku chache baada ya vyama vinavyounda Ukawa kutangaza mgawanyo wa majimbo, baadhi ya majimbo hayo yamekumbwa na sintofahamu baada ya wanachama kutokubaliana na uamuzi ya viongozi wa kuachiana majimbo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Aug
CCM yashinda majimbo matano
10 years ago
Vijimambo
MAJIMBO MATANO KURUDIA KURA ZA MAONI

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CC) imeagiza kurudiwa kwa uchaguzi katika majimbo matano kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza katika mchakato wa kura ya maoni.Majimbo hayo ni Makete,Busega,Ukonga,Rufiji na Kilolo.Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye amesema mchakato huo utarudiwa siku ya alhamisi Agosti 13.Amesema baada ya...
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Kivumbi cha CCM Majimbo matano leo
Patricia Kimelemeta na Esther Mnyika
UPIGAJI wa kura za maoni zinazorudiwa katika majimbo matano leo nchini katika Chama Cha Mapinduzi (CCM)unatarajiwa kuwa na mvutano mkubwa.
Majimbo yanayorudia uchaguzi na mikoa yake kwenye mabano ni Busega (Simiyu), Kilolo (Iringa), Rufiji (Pwani), Makete(Njombe)na Ukonga(Dar es Salaam).
Kamati Kuu ya CCM iliamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya kubaini rafu na ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi wakati wa kura za maoni ambapo pia matokeo yake yanapaswa...
10 years ago
Vijimambo
KINANA ATEMBELEA MAJIMBO MATANO YA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia vijana wapatao 500 wa Kituo cha Vijana ( Tanzania Youth Icon) cha Kuwaendeleza na Kuwawezesha katika masuala mbali mbali kama Elimu, Kujiajiri na Michezo

10 years ago
Mtanzania18 Sep
Majimbo yawavuruga Ukawa
NA JONAS MUSHI NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
HALI si shwari ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) baada ya Chama cha NCCR-Mageuzi kuibuka na madai kuwa kuna vyama washirika vinavuruga umoja huo, na kwamba chama chao kinaweza kufa baada ya uchaguzi mkuu.
Ukawa ni umoja unaoundwa na vyama vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD ambavyo vimekubaliana kuungana katika uchaguzi mkuu na kusimamisha mgombea mmoja kwenye urais, ubunge na udiwani.
Wakizungumza katika mkutano na waandishi wa...
10 years ago
Mtanzania19 Mar
Ukawa wagawana Majimbo 211
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KAMATI maalumu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), imekamilisha kazi ya ugawaji wa majimbo 211 ambayo ni sawa na asilimia 88 kati ya majimbo yote 239, imefahamika.
Wakati hayo yakiendelea, kamati hiyo imeshindwa kuafikiana katika majimbo 28 ambayo yanasubiri uamuzi wa wenyeviti wa vyama vinavyounda Ukawa, ambao watamaliza kiporo hicho mwezi huu.
Hatua hiyo imekuja baada ya viongozi wa juu wa umoja huo, kutangaza mkakati wa kusimamisha mgombea mmoja wa...
10 years ago
GPL
MGAWANYO RASMI WA MAJIMBO YA UKAWA
10 years ago
Mwananchi28 Oct
CCM, Ukawa waporana majimbo
10 years ago
Mtanzania01 Sep
Majimbo matatu yawavuruga Ukawa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MAJIMBO matatu yameonekana kuvivuruga vyama vinavyonda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutokana na vyama hivyo kushindwa kusimamisha mgombea mmoja kama yalivyo makubaliano yao.
Kutokana na hali hiyo, vyama hivyo vimejikuta vikisimamisha wagombea wawili katika jimbo moja na hivyo kuzua utata katika majimbo hayo.
Majimbo yaliyoleta mvutano katika umoja huo ni Jimbo la Serengeti mkoani Mara, Mtwara Mjini mkoani Mtwara na Jimbo la Mwanga mkoani...