Ukawa wagawana Majimbo 211
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KAMATI maalumu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), imekamilisha kazi ya ugawaji wa majimbo 211 ambayo ni sawa na asilimia 88 kati ya majimbo yote 239, imefahamika.
Wakati hayo yakiendelea, kamati hiyo imeshindwa kuafikiana katika majimbo 28 ambayo yanasubiri uamuzi wa wenyeviti wa vyama vinavyounda Ukawa, ambao watamaliza kiporo hicho mwezi huu.
Hatua hiyo imekuja baada ya viongozi wa juu wa umoja huo, kutangaza mkakati wa kusimamisha mgombea mmoja wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Majimbo yawavuruga Ukawa
NA JONAS MUSHI NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
HALI si shwari ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) baada ya Chama cha NCCR-Mageuzi kuibuka na madai kuwa kuna vyama washirika vinavuruga umoja huo, na kwamba chama chao kinaweza kufa baada ya uchaguzi mkuu.
Ukawa ni umoja unaoundwa na vyama vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD ambavyo vimekubaliana kuungana katika uchaguzi mkuu na kusimamisha mgombea mmoja kwenye urais, ubunge na udiwani.
Wakizungumza katika mkutano na waandishi wa...
9 years ago
Mtanzania01 Sep
Majimbo matatu yawavuruga Ukawa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MAJIMBO matatu yameonekana kuvivuruga vyama vinavyonda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutokana na vyama hivyo kushindwa kusimamisha mgombea mmoja kama yalivyo makubaliano yao.
Kutokana na hali hiyo, vyama hivyo vimejikuta vikisimamisha wagombea wawili katika jimbo moja na hivyo kuzua utata katika majimbo hayo.
Majimbo yaliyoleta mvutano katika umoja huo ni Jimbo la Serengeti mkoani Mara, Mtwara Mjini mkoani Mtwara na Jimbo la Mwanga mkoani...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/ukawa-1024x680.jpg)
MGAWANYO RASMI WA MAJIMBO YA UKAWA
9 years ago
Mwananchi21 Aug
Majimbo matano yavuruga Ukawa
9 years ago
Mwananchi02 Nov
Ukawa ilivyoipa CCM majimbo
9 years ago
Mwananchi28 Oct
CCM, Ukawa waporana majimbo
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Ukawa waanza mchakato wa ‘kugawana’ majimbo
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Ukawa kujadili mvutano wa majimbo Ijumaa
10 years ago
Habarileo21 Apr
Majimbo yapasua kichwa wana-Ukawa
HATIMA ya kuachiana kwa majimbo ya uchaguzi kwa vyama vya siasa vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), inatarajiwa kujulikana wiki ijayo.