Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa waanza mchakato wa ‘kugawana’ majimbo

Moshi. Baada ya kumalizika kwa Bunge la Katiba, hasira za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) dhidi ya CCM zimehamia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, safari hii ukiunda kamati maalumu kutafuta namna ya kumsimamisha mgombea mmoja wa urais na kuachiana majimbo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza kugawana nchi

Katika kile kinachoonekana kuendelea kujiimarisha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimegawana maeneo mbalimbali nchini vikifanya mikutano ya hadhara na mafunzo kwa viongozi wake ikiwa ni utekelezaji wa mkakati wa ushindi.

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKAWA KUGAWANA MAJIMBO



CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO 
(CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKAWA KUGAWANA MAJIMBO
Tangu jana kumekuwa na taarifa kupitia njia mbalimbali za upashanaji habari kuhusu msimamo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo ya uchaguzi nchini.

Habari hizo ambazo zingine zimeripotiwa kwenye vyombo vya habari hususan magazeti ya jana (Alhamis) na leo (Ijumaa), zimesema kuwa UKAWA ‘wameshagawana’ majimbo kadha wa kadha na kwamba bado...

 

9 years ago

Mwananchi

Mchakato mahakama ya mafisadi waanza

Utekelezaji wa ahadi za Rais John Magufuli unazidi kushika kasi baada ya kuanza kwa mchakato wa kuanzisha mahakama maalumu ya kuwashughulikia mafisadi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchakato wa Wajumbe wa Bunge la Katiba waanza

Vyama vya siasa, wafanyakazi, walemavu na makundi mengine ya watu maalumu, leo wanaanza mchakato wa uteuzi wa majina ya watu wanaotaka kuomba nafasi ya kuchaguliwa kuingia kwenye Bunge la Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchakato kumngo’a Spika Eala waanza

>Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) wameanza rasmi mchakato wa kumwondoa madarakani spika wao, Margareth Zziwa kutoka Uganda baada ya kuwasilisha hati ya kusudio hilo kwa katibu wa bunge hilo, Kenneth Madete

 

10 years ago

Raia Mwema

Mchakato waanza kumfikisha Shein ICC

KUNA nyakati ambapo watawala wetu lazima waambiwe ukweli. Huu ni wakati mmojawao.

Ahmed Rajab

 

11 years ago

Mwananchi

Mchakato wa kampuni 100 bora waanza

>Mchakato wa kutafuta kampuni 100 bora za kiwango cha kati nchini kwa mwaka huu, umeanza na kampuni mbalimbali zitafanyiwa utafiti kubaini viwango vyao vya ukuaji kibiashara.

 

10 years ago

Habarileo

Mchakato wa njia 6 Dar—Chalinze waanza

Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Patrick MfugaleWAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads) amekutana na wadau mbalimbali, kujadiliana jinsi ya kuanza kazi ya kutengeneza andiko la kusimamia utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya njia sita ya Dar es Salaam- Chalinze.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchakato wa ujenzi ‘flyover’ Tazara waanza

>Tatizo la foleni katika jiji la Dar es Salaam, limeanza kupatiwa dawa baada ya Serikali ya Tanzania na Japan kutiliana saini mkataba wa ujenzi wa barabara za juu (flyover) katika makutano ya Barabara ya Mandela na Nyerere.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani