Mchakato kumngo’a Spika Eala waanza
>Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) wameanza rasmi mchakato wa kumwondoa madarakani spika wao, Margareth Zziwa kutoka Uganda baada ya kuwasilisha hati ya kusudio hilo kwa katibu wa bunge hilo, Kenneth Madete
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo02 Nov
Mchakato wa Spika mpya
MCHAKATO rasmi wa kumpata Spika mpya wa Bunge, atakayerithi mikoba ya Spika Anne Makinda, umeanza baada ya vyama vya siasa kuagizwa kuanza maandalizi ya kupata mgombea kutoka vyama hivyo haraka.
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Mchakato mahakama ya mafisadi waanza
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Spika EALA azidi kukingiwa kifua
SIKU chache baada ya wabunge saba wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, kujiondoa kwenye jaribio la kutaka kumuondoa Spika wa Bunge hilo, Margareth Zziwa, Jumuiya ya Wanafunzi wa Chuo...
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Spika wa Bunge EALA ang’olewa
NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA,
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margreth Zziwa, jana ameng’olewa kushika wadhifa huo baada ya wabunge 36 kati ya 49 kupiga kura za ndiyo kutokuwa na imani naye kutokana na kile kilichoelezwa ameshindwa kuongoza Bunge hilo.
Kabla ya kufikia uamuzi wa kupiga kura, Kamati ya Bunge ya Sheria, Hadhi na Madaraka ya Bunge hilo ilipewa jukumu la kuchunguza tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabili ikiwamo kuwapendelea baadhi ya wabunge, kushindwa kufuata kanuni...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Spika Eala ang’olewa madarakani
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Makongoro akwamisha kumng’oa Spika EALA
MCHAKATO wa kumng’oa Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), Dk. Margret Banbtonbg Zziwa, juzi ulishindwa kuendelea baada ya wabunge wawili wa Tanzania kuamua kuondoa majina yao kwenye...
10 years ago
Mtanzania20 Dec
Dany Kidega awa Spika EALA
Na Elizabeth Mjatta
MBUNGE wa Chama cha National Resistance Movement (NRM) cha Uganda, Dany Kidega amechaguliwa kuwa Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).
Kidega anachukua nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge hilo, Dk. Margareth Zziwa, aliyeondolewa kutokana na kukabiliwa na kashfa mbalimbali.
Kidega alipata ushindi huo baada ya mbunge mwenzake kutoka Uganda Christopher Okumu (UPC), kujiengua katika kinyang’anyiro hicho muda mchache baada ya kuingia bungeni.
Baada ya Dk. Zziwa...
10 years ago
Raia Mwema08 Jul
Mchakato waanza kumfikisha Shein ICC
KUNA nyakati ambapo watawala wetu lazima waambiwe ukweli. Huu ni wakati mmojawao.
Ahmed Rajab
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Ukawa waanza mchakato wa ‘kugawana’ majimbo